Bado mdogo mtoto jaman huyo anaonekana hataki shida na inaelekea kafuata tabia ya mama kama sio ya baba
hvyo msimuudhi mtoto jaman mwaacheni acheze na afanye atakavyo coz kwa umri alionao ni vigumu kucontrl hasira zake
Watoto wako tofauti hapo hajafika kwenye terrible two ndo utakiona maana wanakuaga ka wametiwa pilipili.wao ni do as i say and everything is mine.kama hujui tabia za watoto utapatashida unaweza kumpiga bila sababu.
Wangu alikuwa na hasira yaani ukimgombeza analia huku akigonga kichwa chini sakafuni hadi unamuonea huruma bt saiv ni mpole ajabu.
Muonyeshe upendo tu na mpe nafasi ya yy kuinjoy utoto wake yanaishaga hayo.
Shansarie nashukuru, umentoa wasi wasi, have a good day!
Hivi ni nani anawadanganya kila kitu ni maombi??? Jamani hii kitu "Maombi" nadhani mbeleni itakuwa Janga la Taifa. For SURE!!
wewe jaman mbona mtoto bado mchanga kabisa mweee afu mbona ulimpga sana? jaman wew ckuachii mtoto hata bure
kumbebeleza mtoto mdogo ni kazi kubwa tena ukikutana na mwenye hasira cjui za bibi yake au mjomba ni tatizo
Mhhhh mie nikiona mtu anapiga mtoto mdogo huwa naumia sana kama wa kwangu vile
wamama wengine watasema hasikii huyu dawa yake ni hii hii..ila sidhani ka ni njia bora ya malezi
Unatakiwa ufungwe unapiga mtoto wa miezi mitano dah ungekuwa marekani wewe na mtoto ungenyang'anywa
Ni sehemu ya malezi ila kwakuwa yashatokea sitarudia tena huo upuuzi...!! Sorry for terrible msg!!(aaah jamani ulikaonea kamalaika ka watu,unajua lugha za watoto wa umri huo ni kulia ulipaswa kuendelea kumbembeleza tu loh! Btw-nyie wanaume wengi wenu hamjui kubembeleza watoto tena wengne utaskia wee mama nanii njo uchukue mwanao utadhani yeye hausiki vile...ila kuna wachache hadi wanawaogesha ama kuwasafisha watoto zao wanapojichafua..next time usimpige mtoto.
????????????? u too!! mxxxxxxxxyiuuuuumxxxxxxyiuuuuu
Siku hizi bana kitu kidogo eti saikoloj lol tushakua wa kimjin zaidi,
Siku hizi bana kitu kidogo eti saikoloj lol tushakua wa kimjin zaidi,
Hivi ni nani anawadanganya kila kitu ni maombi??? Jamani hii kitu "Maombi" nadhani mbeleni itakuwa Janga la Taifa. For SURE!!
Thread kama hizi huwa naenjoy sana kusoma! Naskia raaha sijui kwanini!! Loh!
Angalia inawezekana hata wewe una tatizo la kisaikolojia!!!Punguza ulimbukeni! na umri wako huo unathubutu kusema Psychology ni mambo ya mjini! Kama hujui inahusu nini basi angalau, nenda kajifunze inavyoandikwa japo kwa Kiswahili afu njoo tujadili!Hata ulipoleta uzi wako wa kulalamika "eti unatongozwa sana kupitia pm" lile lilikuwa tatizo lako la Kisaikolojia, ila kwa kuwa Unawaza kwa kutumia Ma------ ndio maana Unadhihirisha U.P.U.M.B.U..... wako hapa! Kuna watu wana certificate, diploma, degree, Masters degree na Phd za Psychology, angalia hizi hapa nimekuwekea ukamsimulie na mumeo!
- Clinical psychology
- Community psychology
- Counseling psychology
- Developmental psychology
- Environmental psychology
- Experimental psychology
- Family psychology
- Organizational psychology
- Physiological psychology
- School psychology
- Social psychology
- Sport psychologists
- Child psychology
akiwa na hasira anaweza akajitupa chini bila kujali amekaa wapi! anatupa ama kubamiza chochote ambacho ameshika ama kipo karibu na yeye, kulia kwa sauti kali (na amebarikiwa sauti kali), kumfinya aliyembeba, kutapa tapa kama amebebwa na wakati mwingine inabidi uliembeba uwe na nguvu ya ziada coz ana weight ya kutosha! kwa upande wa sababu ni za kawaida tu mf. unamtoa karibu na tv na yeye hataki ama unamnyang'nya kitu hatarishi!
Thread kama hizi huwa naenjoy sana kusoma! Naskia raaha sijui kwanini!! Loh!