Halo...mambo!! Nadhani hiyo ni hali ya kawaida, mi nina binti yangu 5 months now...kipindi cha miezi ya mwanzo alikuwa na hasira sana, yaani ni shida na paji la uso always lilikuwa linakunjamana kwa hasira, nilishaanza kuogopa lakini kumbe hutokeaga tu for sometimes kwani sasa hivi yeye ni full kicheko always...hana tena zile hasira manake angeendelea kuwa vile hata mi nisingekuwa na furaha kabisa...Wana - JF, habari za asubuhi?
Naomba msaada wenu, nina mtoto wa kike, 18 months age, ana afya nzuri! shida yangu ni 1 tu, katika umri huu, anaonekana atakuja kuwa na hasira sana, dalili zinaonyesha atakuwa mtata sana, pia ana elements za utundu lkn hii sioni shida, najua ni stage tu ya makuzi. Ila hili la hasira jamani, mpaka naogopa!
Wataalamu wa psychology, wazazi wenzangu na yeyote mwenye ushauri namna gani naweza kumsaidia bint yangu kupunguza kama sio kuondoa kabisa hasira!
Hivi ni nani anawadanganya kila kitu ni maombi??? Jamani hii kitu "Maombi" nadhani mbeleni itakuwa Janga la Taifa. For SURE!!Dhehebu gani wewe?
Fanya maombi ya kutosha kwa imani yako.
Halo...mambo!! Nadhani hiyo ni hali ya kawaida, mi nina binti yangu 5 months now...kipindi cha miezi ya mwanzo alikuwa na hasira sana, yaani ni shida na paji la uso always lilikuwa linakunjamana kwa hasira, nilishaanza kuogopa lakini kumbe hutokeaga tu for sometimes kwani sasa hivi yeye ni full kicheko always...hana tena zile hasira manake angeendelea kuwa vile hata mi nisingekuwa na furaha kabisa...
So endelea kumthamini ujue hali yake, kikubwa jitahidi kumfurahisha kwa kumpa vitu flaniflani anavyopendelea kulambalamba au kengele au vitu vyenye kutoa rangi rangi vitampa ujazo akilini mwake atatulia tu!! Coz ni mtundu.
Wana - JF, habari za asubuhi?
Naomba msaada wenu, nina mtoto wa kike, 18 months age, ana afya nzuri! shida yangu ni 1 tu, katika umri huu, anaonekana atakuja kuwa na hasira sana, dalili zinaonyesha atakuwa mtata sana, pia ana elements za utundu lkn hii sioni shida, najua ni stage tu ya makuzi. Ila hili la hasira jamani, mpaka naogopa!
Wataalamu wa psychology, wazazi wenzangu na yeyote mwenye ushauri namna gani naweza kumsaidia bint yangu kupunguza kama sio kuondoa kabisa hasira!
ni kawaida,kwa sababu ni ngumu kumuelewa na haongei lugha za mtt kujieleza zinazidi kidogo,akiudhika hulia,wengine wenye hasira zaidi hujipigiza sehemu,so ni muhimu kwa mzazi kuwa Makini,akianza kuongea hayo yataisha.
La kuzingatia ni kwamba sio kila mtt anayelia anajiliza,hiyo ni njia ya watoto kujieleza wanapoudhika.
Thread kama hizi huwa naenjoy sana kusoma! Naskia raaha sijui kwanini!! Loh!
Naunga mkono hoja 100% watu wapunguze bange za mawazo...........ukuta mtu ana medical complication ambayo akiwahi hospitalini inatibika anaambiwa fanya maombi,anajichelewesha hadi anafika hospitali kimeshaharika damn it ,siwafagilii hata kidogo watu wa staili hiyoHivi ni nani anawadanganya kila kitu ni maombi??? Jamani hii kitu "Maombi" nadhani mbeleni itakuwa Janga la Taifa. For SURE!!
Kuna mtu aweza kuja kukuambia "Inabidi Uombewe"...Ni sredi ambazo zinaleta hamu ya kusoma what people say it. Zipo so relaxed na hazina stress kabsa hizi sredi.Thread kama hizi huwa naenjoy sana kusoma! Naskia raaha sijui kwanini!! Loh!
Kula gwala...:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up:Naunga mkono hoja 100% watu wapunguze bange za mawazo...........ukuta mtu ana medical complication ambayo akiwahi hospitalini inatibika anaambiwa fanya maombi,anajichelewesha hadi anafika hospitali kimeshaharika damn it ,siwafagilii hata kidogo watu wa staili hiyo
hivi ni nani anawadanganya kila kitu ni maombi??? Jamani hii kitu "maombi" nadhani mbeleni itakuwa janga la taifa. For sure!!
in god we trust...
Imani yako ndo inakuponesha
Thread kama hizi huwa naenjoy sana kusoma! Naskia raaha sijui kwanini!! Loh!