Mkuu naona si tatizo la kamshahara kwa sababu hapa bongo kima cha chini cha kamshahara ni sawa sawa na kamkia cha buzi na haifanani na thamani ya hiyo chombo labda huyo boss anataka kumkomoa mamachanja wake kwa masafari ya siyo isha kutoka mchana na kurudi usiku wa manane ndio hapo tena ni kiziim kuuti
Nikiiangalia hiyo gari ni Right Hand Drive, ina maana huyo dereva haku-lock gari na kama alifanya hivyo inawezekana kabla ya kulock gari alitokea upande wa kushoto. Je funguo alimpaje bosi wake au aliondoka nayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.