These images show high level of anger, frustration and despair
Lakini ya huyo mwanamke, ni kama anasema sina cha kupoteza sasa. Njooni. Nimesimama imara na kishupavu. Sitishwi na silaha zenu na uhodari kwangu ni kutoka moyoni.
Kifupi nguvu ya huyo mwanamke inaonyesha ukandamizaji hata ukitumia silaha za kisasa za aina yoyote hauwezi kushindana na haki inayosimama bila kutumia silaha.
Kifupi nguvu ya huyo mwanamke inaonyesha ukandamizaji hata ukitumia silaha za kisasa za aina yoyote hauwezi kushindana na haki inayosimama bila kutumia silaha.