Hasira nouma aah! guy's sikia hii.

Hasira nouma aah! guy's sikia hii.

TOTS SHALO

Senior Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
152
Reaction score
25
baada ya mke kupokea kipigo kikali kutoka kwa mme akaenda polisi kushitaki.
Mke. mume wangu kanipiga baada yakugumgundua anauza madawa yakulevya polis wakamfuata jamaa nakuanza kumpa kipigo chambwa mwizi hatimae jamaa akakili nikweli nauza iyo ki2 lakini mzgo sinao mimi anao boss wangu. Polisi wakamuuliza yuko wapi?
Mume. Nibaba mkwe wangu.
 
Hahahahaha hii chain kiboko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom