Hasira, hasara

Hasira, hasara

Lee2

Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
46
Reaction score
16
Nukuu,
" Nilitembea na dada yake na rafiki yangu ili kulipiza kisasi baada ya Rafiki yangu kumfumania live akimvuruga (sex) mchumba wangu.

Juzi binti (dadayake jamaa) kanipigia simu anadai anaujauzito wangu eti kaenda kupima.
Nikamtaka twende wote kwa siri(babayake ni mkali) kuhakikisha, ni kweli anaujauzito.

Kinachonichanganya ni
1: Binti simpendi,ila nilitembea naye ili kulipiza kisasi.

2: Binti ana asili ya kiarabu na ni mwislamu tena anayevaa kininja masaa yote,mimi mkristo.

3. Babayake binti ni swara tano hasa na alishawakanya wanaye kuwa hataki kuolewa na weusi (waafrika) na makafri (wakristo),kinyume na hapo watafukuzwa kwao.

4.Kaka zake na binti wanakamtindo ka kuwatigolizi vijana wanaotembea na dadazao (ilimtokea kijana mtaani)"
mwisho wa Nukuu.

ni maelezo ya rafiki yangu,jamaa haelewi afanye nini akifikiria hayo hasa swala la '4'
kaniomba niliwakilishe Jf nimeamua kulileta kwenu ili tumsaidie.
 
Kwa ujasiri uleule uliokuwa nao mpaka ukamgegeda huyo binti,nenda kwa mzee wake mwambie akukabidhi "mkeo" kama hataki akulelee mimba yako..hahahahaaa
 
Mwambie awe anatembea na mafuta ya mgando...
Just in case.......!
 
Hapo mkuu "tigo yako" iko at risk ,umeiuza kwa cheap price
 
Hamnaga swara tano...kuna swala tano...pambaaaf...
 
Apo tembea tu na mafutabya magando il wakikuwah kichochoron unapaka 0713 ulainishe ...hahahahhaa......umejutaaa
 
Mwambie asubiri mavuno ya mpanda mbegu, miezi tisa simbali labda aombe kiangazi kizidi mbegu isiote.
 
Back
Top Bottom