Mtembezi Kichomi JF-Expert Member Joined Feb 24, 2022 Posts 732 Reaction score 1,063 Jul 1, 2026 #41 Kwa hakika anaeomba MSAMAHA anajua kuwa ameifanya KOSA. Msamaha maana yake ni aliyekosewa anataka kujiridhisha kama alikosewa. NB: Tusameheane jamani, hakuna mkamilifu.
Kwa hakika anaeomba MSAMAHA anajua kuwa ameifanya KOSA. Msamaha maana yake ni aliyekosewa anataka kujiridhisha kama alikosewa. NB: Tusameheane jamani, hakuna mkamilifu.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,042 Reaction score 195,818 Jul 1, 2026 #42 Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana... Cc: Mahondaw