Hasira hasara

Ukweli ni mzuri sana.
Naaaaam iko hivyo ila IKUMBUKWE SINA CHUKI HASIRA WALA HASARA NA MTU ILA NITAISHI KWENYE KULIPA KISASI NI SUALA LA MUDA TUU SITOJIVIKA VAZI LA UNAFIKI WALA KUKUMBATIA MZINGA WA NYUKI HUKU NAUMWA NA NYUKI HAO


TARATIBU NDO MWENDO NGOJA NIRUDI KIOTANI KWANGU!!!!!!!!!!!!
 
mbaya zaidi jamaa anakuharibia mipango na michakato yako alafu yake anataka iende sawia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…