Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,722
Ni hashtagKwanza hashtag ndiyo ni nini?
Ni hashtagKwanza hashtag ndiyo ni nini?
ndio nini hii?Kwanza hashtag ndiyo ni nini?

Kweli wanazingua [HASHTAG]#FreeLocalChannel[/HASHTAG][HASHTAG]#FREE[/HASHTAG] LOCALCHANNEL
Yaan wamekata channel zote za local hawa star times mm nimeenda nikauliza wameniambia local channel zina matatizo but ukilipia hata kile kifurushi cha 6,000 unaziona.huu si uongo huu jaman?TCRA tunaomba mlifuatilie hili hapo Startimes
Ni kweli,Kosa kubwa walilofanya na Lina Wa cost mno Tbc kwa kutumia tech ya wachina na kuiacha ile ya kijapani,kumbuka enzi za Tvt walikua na kiwango bora sana cha picha na videoSheria za Tanzania ni matamko yaani Mahakamani hazina nafasi... Analogy irejee tu maana digital ni upumbavu tu kwanza channel ni chafu zimaumiza macho upumbavu mwingine huu tena.. For sure sitizami local channel zaidi ya Azam sport HD. Analogy channel zilikuwa safi kasoro TBC na Star TV... Kilichowafanya TBC kuachana na mitambo ya Sony yenyewe picha bora hadi walionayo sasa hivi michafu ni nini haswa?