Hashtag mpya ya kupinga kulipia local channel

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,839
20,285
Tcra wameamua kuziba maskio
Hii hashtag itakua ni kutaka local channel zirud km mwanzo na ziwe bure kuonekana km sheria ya tcra inavyosema
[HASHTAG]#FreeLocalChannel[/HASHTAG]
[HASHTAG]#FreeLocalChannel[/HASHTAG]
[HASHTAG]#FreeLocalChannel[/HASHTAG]
[HASHTAG]#FreeLocalChannel[/HASHTAG]
 
Sheria za Tanzania ni matamko yaani Mahakamani hazina nafasi... Analogy irejee tu maana digital ni upumbavu tu kwanza channel ni chafu zimaumiza macho upumbavu mwingine huu tena.. For sure sitizami local channel zaidi ya Azam sport HD. Analogy channel zilikuwa safi kasoro TBC na Star TV... Kilichowafanya TBC kuachana na mitambo ya Sony yenyewe picha bora hadi walionayo sasa hivi michafu ni nini haswa?
 
Tcra kazi yao in kufingia redio zinazokinzana na Sera za ccm hayo ya local Channels mtajijua, serikali haikuwanunulia tv!
 
[HASHTAG]#FREE[/HASHTAG] LOCALCHANNEL
Yaan wamekata channel zote za local hawa star times mm nimeenda nikauliza wameniambia local channel zina matatizo but ukilipia hata kile kifurushi cha 6,000 unaziona.huu si uongo huu jaman?TCRA tunaomba mlifuatilie hili hapo Startimes
 
Tcra wameamua kuziba maskio
Hii hashtag itakua ni kutaka local channel zirud km mwanzo na ziwe bure kuonekana km sheria ya tcra inavyosema
[HASHTAG]#FreeLocalChannel[/HASHTAG]
[HASHTAG]#FreeLocalChannel[/HASHTAG]
[HASHTAG]#FreeLocalChannel[/HASHTAG]
[HASHTAG]#FreeLocalChannel[/HASHTAG]
Naunga mkono!
 
[HASHTAG]#FreeLocalChannel[/HASHTAG]
[HASHTAG]#FreeLocalChannel[/HASHTAG]
[HASHTAG]#FreeLocalChannel[/HASHTAG]
[HASHTAG]#FreeLocalChannel[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom