Hashimu Rungwe anena, Ndege si ishu kwa watanzania" on YouTube

Mmeambiwa kama lowassa ni fisadi mpelekeni mahakamani otherwise ujanja ujanja una mwisho wake.

Sisi wana ccm tulikuwa hatujui kama Lowassa ni fisadi....ndugu zenu wa chadema akina Lissu,Msigwa na G.lema ndo walisema ni fisadi katika ile list of shame in Tanzania.....mtutoe sisi na Magufuri wetu.
 
Kama nimemuelewa vizuri...huyu mzee bila shaka atakuwa muhanga wa kuminywa kwa wakwepakodi....
Najiuliza, kama nchi imenyooka, ubaya ukowapi tukiinyoosha zaidi kwa kununua ndege?
Upandemwingine anasema wahalifu hawakamatwi, afu dakika chache tena anasema wahalifu wamejaa vituoni..ni aibu sasa viongozi wa upinzani kutetea uhalifu na mafisadi
Tatizo sio ndege, tatizo ni mantainance yake
 
Back
Top Bottom