Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,355
- 144,975
Hata Mimi nilikua siamini kama wewe,ila acha nirudi kwa Mungu mbiombio,kuna mengi hatuyaoni ila yapo aisee.
Anasema alikua anaota tu ndoto anafanya mapenzi,ooh mara ana watoto.lakini yeye alichukulia ni ndodo za kawaida!
Hakuna jini, shetani, malaika wala mungu.
Ni hadithi zisizo uthibitisho wala mantiki.
Rafiki yangu kipenzi,aliolewaga,ana miaka minne kwenye ndoa,hashiki mimba,pima vipimo vyote shida hainekani.japo kidogo huwa analalamika tumbo.
Ndoa yake haijachangamka.
Akasema aende kuombewa,ndio akawa anasema huyo jini kuwa amemuoa huyo dada,na tayari wana watoto!
Ni ngumu kuamini lakini ndio ivo!
Sijui ndoa yake itakuaje? Mumewe atampenda tena?
Atakuwa anajisikiaje?
Nilikua siamini mambo haya,ila nimeamini.
Mungu atulinde tusipatwe na mashetani na majini!
Nakosa cha kuongea...
Mwenye ushauri aweza share sababu nashindwa nielezeeje nieleweke!
Nyani hawa watu hawabadiliki katu. Eti anaamini jini! Jini mbona haliendi benki kukusanya hela likaleta kwa huyo mganga/mwombezi, ila lina nguvu za kuzuia uzazi! Blood fool! Hayo hayo ya Mzee wa Upako, anakuombea eti upate scania tani 10 wakati huo huo anapokea elfu yako moja! Stupid!!!!Hakuna majini wala mashetani.
Kama unaamini hayo mambo au kama ndo umeanza kuamini nakushauri uende ukapimwe akili.
Huenda umeanza kuwehuka!
*Kaombewa ili ajue tatizo,na liondoke pia.
*mumewe hataki aombewe,yeye kalazimisha,afu inajulikana kuwa ana watoto na jini!
Na mumewe hupo mbali naye kwa sasa,ila anajua tu kuwa mkewe anaombewa.
Huyu dada ni rafiki yangu sana.ila alipoolewa mawasiliano na mazoea tulikata.
Na yeye ndio kanipa hiyo stori.
Na akaniuliza kama ningekua mimi ndio mwanaume, ningekubali kuendelea kuishi na mtu aliyezaa na jini?
Sikumkatisha tamaa,nikampa moyo.akafarijika.na nina imani ndoa yao itasimama daima!
tu,leo ndio nimeamini kuwa haya mambo yapo!
Ni kumuomba tu mungu atuepushe nayo!
Luv
Hata Mimi nilikua siamini kama wewe,ila acha nirudi kwa Mungu mbiombio,kuna mengi hatuyaoni ila yapo aisee.
Anasema alikua anaota tu ndoto anafanya mapenzi,ooh mara ana watoto.lakini yeye alichukulia ni ndodo za kawaida!
Kaka unalolote unaloweza kuongeza hapa mshana jr
Maana hii ni kweli imetokea! Na sitaki kuamini kuwa eti ni maigizo?
Nyani hawa watu hawabadiliki katu. Eti anaamini jini! Jini mbona haliendi benki kukusanya hela likaleta kwa huyo mganga/mwombezi, ila lina nguvu za kuzuia uzazi! Blood fool! Hayo hayo ya Mzee wa Upako, anakuombea eti upate scania tani 10 wakati huo huo anapokea elfu yako moja! Stupid!!!!