Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
- Thread starter
- #21
Mbona Obama anaungwa mkono na zaidi ya asilimia 93 ya Wamarekani weusi....sasa donge liko wapi?
Umeshawahi kuishi Marekani na kufanya kazi na wamarekani weusi? Nani utajisikia kufanya kazi naye zaidi kati ya Mzungu na black american?
H. Thabeet ni yule yule aliyekuwa Memphis, Houston na huko sikui wapi, lakini leo anaonekana amebadilika, kilichombadilisha si juhudi tu ila ushirikiano anaopata toka kwa hao wenzake. Kama we mfungaji wa magoli wachechaji wenzako wasipokupa ushirikiano utapataji mipira ya kufumua mikwaju kuikwamisha wavuni? Utabaki kukimbia huku na kule ndivyo yaliyotokea kwa Thabeet hata mwandishi na mtangazaji mmoja aliongea kitu kama hicho mwakajuzi alipokuwa bado Mephis.