kivipi?Kumlinganisha Thabeet na Lin....ni obvious unamuonea Thabeet!
kivipi?
tatizo wakishafika huko hujisahahu8 na kuwaza bata tu muda wote kuja bongo kuuza sura.
sio mbaaya hata hvo umetutambulishaq watz.
wewe nawe una matatizo ya ufikiri.....Thabeet kinachomuua ni misifa tu,kamnunulia mama yake nyumba masaki + vogue=ulimbukeni,hzo hela kwa nini asingenunua heka mbili mbezi beach akajenga apartments akazipangisha akapata hela nzuri tu,vogue ya nini cc5000,kwa siku mafuta ya elfu50
Thabeet kinachomuua ni misifa tu,kamnunulia mama yake nyumba masaki + vogue=ulimbukeni,hzo hela kwa nini asingenunua heka mbili mbezi beach akajenga apartments akazipangisha akapata hela nzuri tu,vogue ya nini cc5000,kwa siku mafuta ya elfu50
Sasa yeye akifanya hivyo na sie wabangaizaji tufanye nini?yule ni tajiri tayari hayo kwake ni mambo ya kawaida,ni sawa na kumshauri Mengi ajenge maduka pale sinza apangishe wakati yeye anafanya investiments kubwa..Thabeet kinachomuua ni misifa tu,kamnunulia mama yake nyumba masaki + vogue=ulimbukeni,hzo hela kwa nini asingenunua heka mbili mbezi beach akajenga apartments akazipangisha akapata hela nzuri tu,vogue ya nini cc5000,kwa siku mafuta ya elfu50
Thabeet kinachomuua ni misifa tu,kamnunulia mama yake nyumba masaki + vogue=ulimbukeni,hzo hela kwa nini asingenunua heka mbili mbezi beach akajenga apartments akazipangisha akapata hela nzuri tu,vogue ya nini cc5000,kwa siku mafuta ya elfu50
Thabeet anayo haki ya kuendesha Vogue na Kumnunulia mama yake nyumba Masaki nilidhani angeweza hata kuongeza na ka boti kadogo cha kula bata hapo maeneo ya Yatch Club, unadhani hizo nyumba na vogue wamewekewa mafisadi tu. Tatizo lake huyo dogo ni kupigania kiwango chake , nina maana mazoezi ya kutosha ya kufanya awe kwenye kiwango kinachokubalika NBA, ili aweze kuuza sura zaidi ya hivyo anavyouza sasa, au hujui kuuza sura kwake kunaweza kumuongezea hela zaidi ya hizo alizo nazo kutoka kwenye mkataba wa kikapu, kumbuka kuna hollywood pia anaweza kutumika katika movie za kutisha, mambo mengi huyo jamaa anayo, lakini muhimu zaidi ni kuhakikisha anabaki kwenye kiwango bora cha NBA. Acha hizo wewe!!