Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,899
Kinachomsumbua Hasheem ni ushamba na kujifanya black American. We angalia hâta zungumza yake. Mshamba sana huyu kijana.
msimponde hamjui anapitia mangapi kumbukeni ni mwafrika tn mtz unadhani US wanajali chochote kuhusu yeye, hebu badilikeni ilikuwa bahati yake kuwa NBA ila kuwa kila kitu ni tofauti
Hata Dikembe Mutombo alikuwa mwafrika (mkongomani)
Hivi kumbe bado yupo huyo dogo....!?!
Huyu ndo mtanzania mwenye twitter followers wengi kuliko wote
Wewe upo twitter na instagram?
Nope?
nimeisoma tu hiyo mahali
wewe upo huko?
dikembe mutombo tunamtukuza sisi sio huko mbele
yaani huyu akija bongo anajiona sparo ushamba umemzidi ukiangalia yule waliopanda wote anaitwa griffin dogo anajitahidi sana lkn huyu akishaenda kuonana na rais kajiona kamaliza. jipange.
Ndio matatizo ya wengi hawajitizami wao wamefikia wapi? rahisi kumkosoa wa Mbele ya macho yako bora mtu umkosoe unayemjua unajuwana naye karibu kuliko unayemuona kwenye screen hamjui feeling zake na kipi kimempata. Hasheem hatuna tunachomdai watanzania hajapelekwa na serikali mpeni pumzi.negative, negative, negative. Wabongo bwana kila siku ni negatives. Losers.