Hasheem Thabeet naona Oklahoma namba yake imeshachukuliwa na yoso

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,886
6,883
images.jpg

Tulijadili sana kuhusu huyu kijana siku za nyuma huko na kujaribu kumshauri ajitahidi kujituma, sasa hali halisi katika timu yake ni kuwa bench kila mechi maana namba yake imechukuliwa na yoso mmoja ambaye ameibukia mpya katika liki mwaka huu toka chuoni, nafasi yake center huwa ya wachezaji wawili wa kupokezana, waliopo wanatosha, Hasheem anaonekana kubaki meza ya ufundi akisubiria kipindi cha dirisha dogo kuuzwa kama kutakuwa na timu itakayokuwa tayari kumpokea. Anatakiwa aondokane na mfumo wa uchezaji wa ridhaa, huko ni kujituma kwa kwenda mbele tu.
 
Kinachomsumbua Hasheem ni ushamba na kujifanya black American. We angalia hâta zungumza yake. Mshamba sana huyu kijana.

I like ur name bloke!! kamojatu
Watu wengi wakienda huko ulaya au amerika huwa wana jiona wamechenji kimaisha mi wananikera sana. Ni ishara ya ushamba na upumbafu.

Ingekuwa ni hivyo hawa ndugu zetu aboriginals wangekuwa wazungu(australian indeginous). Lakini huez amini, hawana mpango na wazungu wala kujisemesha "u know", "yes yes" walaaa wao ni kinyumbani tu. Sasa sisi unakuja 2-3years una lafudhi ya kizungu 😃😃😃😃😃 USHAMBA
 
Last edited by a moderator:
yaani huyu akija bongo anajiona sparo ushamba umemzidi ukiangalia yule waliopanda wote anaitwa griffin dogo anajitahidi sana lkn huyu akishaenda kuonana na rais kajiona kamaliza. jipange.
 
msimponde hamjui anapitia mangapi kumbukeni ni mwafrika tn mtz unadhani US wanajali chochote kuhusu yeye, hebu badilikeni ilikuwa bahati yake kuwa NBA ila kuwa kila kitu ni tofauti
 
msimponde hamjui anapitia mangapi kumbukeni ni mwafrika tn mtz unadhani US wanajali chochote kuhusu yeye, hebu badilikeni ilikuwa bahati yake kuwa NBA ila kuwa kila kitu ni tofauti

Hata Dikembe Mutombo alikuwa mwafrika (mkongomani)
 
Dogo ndie mchezaji mrefu kuliko wote NBA kwa sasa.
Dogo anaweza kucheza defense kumshinda hata Roy Hibbert.
Dogo ana so much potential. He's a diamond in the rough, and it's just a matter of time before he can unleash his enormous basketball IQ
 
yaani huyu akija bongo anajiona sparo ushamba umemzidi ukiangalia yule waliopanda wote anaitwa griffin dogo anajitahidi sana lkn huyu akishaenda kuonana na rais kajiona kamaliza. jipange.

Wish it was you huh? Acha wivu wa muuza mkaa hahahaha
 
negative, negative, negative. Wabongo bwana kila siku ni negatives. Losers.
Ndio matatizo ya wengi hawajitizami wao wamefikia wapi? rahisi kumkosoa wa Mbele ya macho yako bora mtu umkosoe unayemjua unajuwana naye karibu kuliko unayemuona kwenye screen hamjui feeling zake na kipi kimempata. Hasheem hatuna tunachomdai watanzania hajapelekwa na serikali mpeni pumzi.
 
Hasheem ni limbukeni. Amepata opportunity nzuri sana kaichezea. Badala ya kwenda kujifua summer camp kila mwaka anakuja bongo to show off and party. He deserves to be benched manake kiwango duni.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom