Hasara.

Hasara.

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
969
Reaction score
3,065
Mtu Binafsi, au Kampuni Binafsi zikipata Hasara, mara 3 unapewa Penati pale TRA... ila wao na Selikari yao wanapata Hasara na hakuna lolote la kuwajibika.
Mbona kama wafanya Biashara tunakandamizwa na Mfumo.
Pia wao Dhahiri hawawezi kusimamia shughuri za Serikali zisipate Hasara mara kwa mara.
 
Back
Top Bottom