Dumuzii
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,601
- 8,711
Kama nilivyo kuja na faida za vibamia mchana sasa tutazame upande wa pili tuweze kuangalia hasara za vibamia.
1: Fedhea ...hii hutokana na wanawake unao tembea nao kujua kuwa unakibamia.
2: Inakupunguzia hali kujiamini kama mwanaume shababi yaani kwa mwanamke alie kuchungulia tayari utakua huna confidance kwake.
3: hauta vaa condom maisha yako yote kwa sababu hakuna kondomu itakutosha labda uwe unaifunga na kamba ili isivuke.
4: uwezekano wa kuwa na watoto wengi kama sio wote wa kike kwa sababu uume wako ni mdogo sana hivyo utakua unamwaga mbegu mbali na talipo mayai kama mjuavyo mbegu za mtoto wa kiume zina kimbia haraka ila hazina pumnzina za kike zinakimbia taratibu na zina pumnzi hivyo zikiwa njiani zitazikuta za mbegu za kiume zimechoka zinajikongoja na kuzipita na kuingia ndani ya yai. Hapo ndio maana utapata watoto wa kike wengi.
NB Ningine ongezeeni wenyewe.[emoji16]