nonsense,Wabunge wa (covid 19) walisababisha hasara ya shilingi trilioni 19π
Hawa covid 19 walifukuzwa uanachama na chadema , CCM kwa masilahi yao wakalazimisha wakae bungeni kwa miaka mitano kinyume na katiba ya Tanzania na hivyo kusababisha hasara ya trilioni 19π€View attachment 3583772
Halafu tunasema taifa maskini!Wabunge wa (covid 19) walisababisha hasara ya shilingi trilioni 19π
Hawa covid 19 walifukuzwa uanachama na chadema , CCM kwa masilahi yao wakalazimisha wakae bungeni kwa miaka mitano kinyume na katiba ya Tanzania na hivyo kusababisha hasara ya trilioni 19π€View attachment 3583772
Yule Yule wa GazaJAJI ALIYERUHUSA HAYA NI IBRAHIMU JUMA
Hivi mahakama za fisi mbuzi atapata haki?Hv mahakama ilitoa maamuzi gani maana kesi ilienda mahakamani! Au katika swala hili la wabunge wale wa cdm nyie hamtaki kusikia neno mahakama
HASARA NYINGINE YA TAIFA NI KULETWA KWA DIDIER DROGBA BUNGENI KUNGE WEZA KUCHONGWA MADAWATI NA MASHIMO YA CHOO MENGI KWENYE MAENEO YENYE UHITAJI WA HARAKA..Wabunge wa (covid 19) walisababisha hasara ya shilingi trilioni 19π
Hawa covid 19 walifukuzwa uanachama na chadema , CCM kwa masilahi yao wakalazimisha wakae bungeni kwa miaka mitano kinyume na katiba ya Tanzania na hivyo kusababisha hasara ya trilioni 19π€View attachment 3583772
Kama yule wa nyuki !