Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,325
- 40,540
- Thread starter
-
- #181
Ndio hapo sasa simp muamke na mjue mmezidiwa akili na wanawake. Mwanamke kabla ya kuingia kwenye mahusiano tayari ashapiga calculation zake na kujua atanufaika vipi na wewe, hii kitu inabidi na wanaume tujifunze pia. Fikiria uyo mwanamke analeta valueable output ipi kwenye maisha yako.Hata kama sina mtoto niko mwenyewe na niko na hali ngumu sidhani kama mwanamke anaweza kunisaidia achilia mbali niwe na mtoto kabisa.
Jinsia Ke kuish na Me ambae ni apechealolo yaani Ke ndie awe provider kwao ni ngumu mno, miezi michache mbele utachapiwa na dharau zitakua nyingi. Sasa ndo uje na mwanao ati mwanamke ndio akulelee mwanao basi utakua na wazimu, hawanaga hiyo hao.
Siamini katika 50/50. Naamini ili familia na jamii kwa ujumla iwe na ustawi mzuri lazima kuwe na man superiorityMkuu wewe ni mdau wa 50/50??
Hakuna huruma wala busara hapo, simp ni watumwa wa kumer. Haiingii akilini kudhamini lifestyle ya mwanamke wakati wazazi wako wana shida chungumzima.Punguza jazba mjomba, ndivyo dunia ilivyo.
Huyo singo maza nikimuoa anakua mke wangu, wa ubani, mbavu yangu ya kushoto, msiri wangu na mengine mengi.
Sasa niache kumsaidia huyu ati kisa mtoto wa binamu yake mjomba ana shida fulani?
Imagine huyo single maza kanizalia wana, niache kumpiga tafu kwa dogo lake moja ilhali wote ni watoto tu.
Kama nilivyokwisha kuandika awali, kama uwezo wako ni wa ngama kama wangu huwezi toa chochote na ni kheri uache, lakini kama uwezo unao toa tu.
Usimp haupimwi kwa maandishi bali vitendo, ukatili na roho mbaya ya kibandidu sio ishara ya kua wewe ndio mwanaume bora, matendo ya huruma, misaada na upendo sio ishara ya usimp, usichanganye hayo.
NIKIJIBU HI HOJA NAWEZA KULA BAN YA MILELE..WACHA NITULIE!Mnatumia nguvu nyingi kuongelea haya mambo
Hebu yafikirie haya
1.Mwanamke kufiwa na mumewe akiwa katika umri mdogo kwahiyo asiolewe tena?
2.Ndoa zenye migogoro,kwahiyo asiachike avumilie mateso asiolewe kwingine?
3.kuzalishwa katika umri mdogo kisha kutelekezwa kwahiyo huyu asiolewe tena kisa ana m(wa)toto?
Wapo wives material kibao ambao ni single mother ,wanaolewa na NDOA zinaendelea vizuri tu,tunao mitaani na tunaona.
Akili za namna hii huwa mnazitoa wapi?? Mbona mmekazania wazazi wana shida, sijui ndgu wana shida?Hakuna huruma wala busara hapo, simp ni watumwa wa kumer. Haiingii akilini kudhamini lifestyle ya mwanamke wakati wazazi wako wana shida chungumzima.
Man superiority ni pamoja na kusolve mambo madogo kama hayo kwenye familia yako.Ndio hapo sasa simp muamke na mjue mmezidiwa akili na wanawake. Mwanamke kabla ya kuingia kwenye mahusiano tayari ashapiga calculation zake na kujua atanufaika vipi na wewe, hii kitu inabidi na wanaume tujifunze pia. Fikiria uyo mwanamke analeta valueable output ipi kwenye maisha yako.
Siamini katika 50/50. Naamini ili familia na jamii kwa ujumla iwe na ustawi mzuri lazima kuwe na man superiority
Hicho ndicho ninachokiongelea, solve mambo kwenye familia yako sio familia ya mwanaume mwingine. Mtoto wa single maza uyo ni member wa familia nyingine sio familia yakoMan superiority ni pamoja na kusolve mambo madogo kama hayo kwenye familia yako.
Kuna tofauti kati ya uoga na busaraMkuu wewe ni muoga sana, na kusema sijui unamlea huyo mtoto ili huyo Ke akupe K ni ujinga kabisa, au wewe ni kijana wa miaka 20 upo kwenye balehe??
Moja ya value anayotakiwa kuja nayo ni heshima yake mwenyewe ambayo inakua determined na past yake. Kitendo cha mwanamke kuwa single maza tayari amesha-disqualified kwenye kigezo cha maadili. Kuweka uyo ndani lazima ukubaliane na dhihaka za walimwengu ambazo moja kwa moja zinashuha heshima yako. Alpha males tutahoji kwanini usianzishe familia yako mpaka ukaamua kwenda kuunga tela kwenye familia ya mwanaume mwingine?Mwanamke ana mengi ya kuoffer kwako ukijua kucheza na akili yake kujua anafit wapi na asaidie kwa jambo lipi, mpaka unafikia hatua ya kumuoa/kua na mahusiano nae serious basi ushajua anafaa kwa kipi labda uwe simp kweli.
Maisha yanaendaje mzeeMkuu, wenye akili watakuelewa, umejitahidi kueleza kwa fact bila kuwa biased. Kuna kitu umesema hapo kuhusu hawa mabint zetu wadogo kwann hawajifunzi na wanaona yanayotokea?
Kwakwel inasikitisha sana
Mzee kwa hapo hatutoweza kuelewana nadhani kila mmoja ana mtazamo tofauti kuhusu hao single maza, na labda pia tuna expirience tofauti na hilo suala kiasi kwamba kila mmoja anaona yuko sahihi kwa kila anachokiamini.Hicho ndicho ninachokiongelea, solve mambo kwenye familia yako sio familia ya mwanaume mwingine. Mtoto wa single maza uyo ni member wa familia nyingine sio familia yako
Kuna tofauti kati ya uoga na busara
Moja ya value anayotakiwa kuja nayo ni heshima yake mwenyewe ambayo inakua determined na past yake. Kitendo cha mwanamke kuwa single maza tayari amesha-disqualified kwenye kigezo cha maadili. Kuweka uyo ndani lazima ukubaliane na dhihaka za walimwengu ambazo moja kwa moja zinashuha heshima yako. Alpha males tutahoji kwanini usianzishe familia yako mpaka ukaamua kwenda kuunga tela kwenye familia ya mwanaume mwingine?
Wasikutoe kwenye reli mkuu, kua na pisi yenhe mtoto sio kosa kabisa.Mnatumia nguvu nyingi kuongelea haya mambo
Hebu yafikirie haya
1.Mwanamke kufiwa na mumewe akiwa katika umri mdogo kwahiyo asiolewe tena?
2.Ndoa zenye migogoro,kwahiyo asiachike avumilie mateso asiolewe kwingine?
3.kuzalishwa katika umri mdogo kisha kutelekezwa kwahiyo huyu asiolewe tena kisa ana m(wa)toto?
Wapo wives material kibao ambao ni single mother ,wanaolewa na NDOA zinaendelea vizuri tu,tunao mitaani na tunaona.
Single Maza ni cha woteMnatumia nguvu nyingi kuongelea haya mambo
Hebu yafikirie haya
1.Mwanamke kufiwa na mumewe akiwa katika umri mdogo kwahiyo asiolewe tena?
2.Ndoa zenye migogoro,kwahiyo asiachike avumilie mateso asiolewe kwingine?
3.kuzalishwa katika umri mdogo kisha kutelekezwa kwahiyo huyu asiolewe tena kisa ana m(wa)toto?
Wapo wives material kibao ambao ni single mother ,wanaolewa na NDOA zinaendelea vizuri tu,tunao mitaani na tunaona.
Dah mkuu, thanks for being concerned. Maisha nimeyaweka "pause" kwanza am living the moment. Nitarud baadae kwa mrejesho ila kwasasa i am re-inventing my lost self and soul.Maisha yanaendaje mzee
Vizuri sana mzee tuko pamoja.Dah mkuu, thanks for being concerned. Maisha nimeyaweka "pause" kwanza am living the moment. Nitarud baadae kwa mrejesho ila kwasasa i am re-inventing my lost self and soul.
Nashukuru sana hii idea niliopata ya kupiga nondo kwasasa, yan mpaka najiuliza ilikuaje sikujua hii kitu mapema!.π. Life is good so far chief. Nakula , nafanya kazi kidogo, na attend shamba kidogo, na meet new people , napiga zoezi na kulala sana.
NI mwendo huu mpaka end of July then i will bounce back to serious life then. Hata humu ndio maana nimekua adimu kidogo
Pamoja manVizuri sana mzee tuko pamoja.
Baba mkwe vipiPamoja man
Ahahahahah...nambie kijana wangu, umejipanga lakini??πBaba mkwe vipi
Father bado, namalizia kununua mapazia na neti mkuuAhahahahah...nambie kijana wangu, umejipanga lakini??π