LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 4,253
- 11,621
Ahahah..basi we endelea kujiweka sawa taratibu. Usiwe na preshaFather bado, namalizia kununua mapazia na neti mkuu

Umesikika na hakika nimekusikia Jack Daniel na nimekuelewa sanaMnatumia nguvu nyingi kuongelea haya mambo
Hebu yafikirie haya
1.Mwanamke kufiwa na mumewe akiwa katika umri mdogo kwahiyo asiolewe tena?
2.Ndoa zenye migogoro,kwahiyo asiachike avumilie mateso asiolewe kwingine?
3.kuzalishwa katika umri mdogo kisha kutelekezwa kwahiyo huyu asiolewe tena kisa ana m(wa)toto?
Wapo wives material kibao ambao ni single mother ,wanaolewa na NDOA zinaendelea vizuri tu,tunao mitaani na tunaona.
Nguo ya mtumba haifai hata kidogo tunaikataa kwa nguvu zote , kwanza nachukia ku**mba aliko**mba mwnaaume mwenzangu tena kwa miaka minne ,miwili ,mitatu nakuendelea .Mnatumia nguvu nyingi kuongelea haya mambo
Hebu yafikirie haya
1.Mwanamke kufiwa na mumewe akiwa katika umri mdogo kwahiyo asiolewe tena?
2.Ndoa zenye migogoro,kwahiyo asiachike avumilie mateso asiolewe kwingine?
3.kuzalishwa katika umri mdogo kisha kutelekezwa kwahiyo huyu asiolewe tena kisa ana m(wa)toto?
Wapo wives material kibao ambao ni single mother ,wanaolewa na NDOA zinaendelea vizuri tu,tunao mitaani na tunaona.
Sawa mkuu Tatizo ni mtazamo,yaani tunafikiri kiutofauti. Mimi sikuoa single Maza hivyo sina cha kufafanua zaidi.Umesikika na hakika nimekusikia Jack Daniel na nimekuelewa sana
Pili hongera sana kwa kuweza kujizolea heshima yangu hapa jukwaani siku nyingi tu
Ila kwa hili mkuu ninaweza kukutukana siku nzima kama kusingekuwa na ban za humu.
These b*itches are Society terrorists they dont owe us a defence.
Unadhani wao wanakuchukulia kama unavyowachukulia wewe?
Yaani hawa ni wa kuwanyanyasa hisia zao kama kawaida kitendo cha yeye kuwa single ni danger tayari mkuu
Hatutaki kusikiliza ushauri wa aina yoyote ile maana sisi hatujatoka kwenye uzao wa single maza.
Na wale waliotoka huko hawana kibali cha kuubaliki modern prostitution.
Wanawake wanajua wanachokifanya. Mwanaume mwema wanamjua na badboy wanamjua, sema wakiwa kwenye peak yao ya ubora huwa wanawakataa au wanawasubirisha kwanza wanaume wema, wanakuja kuwakumbuka badae wakishakua damaged, aged and overused.Sawa mkuu Tatizo ni mtazamo,yaani tunafikiri kiutofauti. Mimi sikuoa single Maza hivyo sina cha kufafanua zaidi.
Ni vile tu nawaonea huruma,ni wanawake ni wadhaifu kimwili na kiroho,ni wepesi kutapeliwa kihisia,ni wepesi kuchezewa.
Mara nyingi wao wanatongozwa hawatongozi.
Lakini pia ni vigumu wao kutambua yupi mwanaume mwenye Nia njema na asiye na Nia njema majibu yote hapatikana wakiingia kwenye mahusiano.ndipo hugundua yupi ni mwema yupi Hafai wakati huo mtu kashazalishwa.
Mambo mazuri unayomtendea mwanamke hana cha kurudisha zaidi ya kukupa zawadi ya mtoto,je vipi unapopewa zawadi hii na mtu ambaye hukujiandaa kumuoa au ulipita tu na Hana vigezo vya kuwa mke wa ndoa.
Mkuu usipende kumuona mtu wa maana pale akicomment unachopenda kusikia tu.
Lakini pia kuhusu wewe kunitukana nakuruhusu kama unaona shida hapa kupigwa ban nitukane kupitia humu.
0716351874
Safi umefafanua vyemaWanawake wanajua wanachokifanya. Mwanaume mwema wanamjua na badboy wanamjua, sema wakiwa kwenye peak yao ya ubora huwa wanawakataa au wanawasubirisha kwanza wanaume wema, wanakuja kuwakumbuka badae wakishakua damaged, aged and overused.
This is because naturaly women are chaotic and trouble makers, they can't thrive without dramas ndio maana katika iyo age ya ubora wao huwa wanapendelea zaidi kuwa na hawa badboys/irresponsible men kwa sababu wanaume wema mara nyingi wanakua wamepoa sana hawana mambo ya ugomvi, ulevu, ukali, drama za kuchepuka n.k
Kuna circle mbaya sana ambayo jamii inataka kui-normalized.
-Mwanamke anafanya maamuzi mabovu kwenye dating pool
-Wanaume aliofanya nao huo ujinga wanamkimbia
-Jamii inamsafisha huyu mwanamke na kuwapa presha wanaume ambao hawahusiki wawe wakombozi wa huyo mwanamke.
Lazima wanawake wawe accountable hili iyo circle hapo juu ivunjwe. Vinginevyo trend ya single mothers na fatherless kids itaendelea kushika hatamu.
Anyway., hao wanawake unaowaonea huruma kumbuka wao hawana huruma na wewe. Wewe utamuonea huruma utamtoa kwenye matatizo lakini ukifika wakati wake wa kuchagua kimoja wapo kati ya wewe au masilahi yake hatakua na huruma kama yako. When it comes to their interests women are detwrmined and ruthless, they don't give a fvck about your kindness and sacrifices. Stay awake fella.
Mkuu najua tunafikiri kiutofauti lakini hii haizifanyi kanuni za mchezo zihukumu kiutofauti kamwe.Sawa mkuu Tatizo ni mtazamo,yaani tunafikiri kiutofauti. Mimi sikuoa single Maza hivyo sina cha kufafanua zaidi.
Ni vile tu nawaonea huruma,ni wanawake ni wadhaifu kimwili na kiroho,ni wepesi kutapeliwa kihisia,ni wepesi kuchezewa.
Mara nyingi wao wanatongozwa hawatongozi.
Lakini pia ni vigumu wao kutambua yupi mwanaume mwenye Nia njema na asiye na Nia njema majibu yote hapatikana wakiingia kwenye mahusiano.ndipo hugundua yupi ni mwema yupi Hafai wakati huo mtu kashazalishwa.
Mambo mazuri unayomtendea mwanamke hana cha kurudisha zaidi ya kukupa zawadi ya mtoto,je vipi unapopewa zawadi hii na mtu ambaye hukujiandaa kumuoa au ulipita tu na Hana vigezo vya kuwa mke wa ndoa.
Mkuu usipende kumuona mtu wa maana pale akicomment unachopenda kusikia tu.
Lakini pia kuhusu wewe kunitukana nakuruhusu kama unaona shida hapa kupigwa ban nitukane kupitia humu.
0716351874
Tunawasema hao single mothers kuwa ni heartless etc.Vipi hao wanaume wenzetu wanaokataa damu zao na kukimbia???Hao na masingle mothers nani wana roho ngumu???Wanawake wanajua wanachokifanya. Mwanaume mwema wanamjua na badboy wanamjua, sema wakiwa kwenye peak yao ya ubora huwa wanawakataa au wanawasubirisha kwanza wanaume wema, wanakuja kuwakumbuka badae wakishakua damaged, aged and overused.
This is because naturaly women are chaotic and trouble makers, they can't thrive without dramas ndio maana katika iyo age ya ubora wao huwa wanapendelea zaidi kuwa na hawa badboys/irresponsible men kwa sababu wanaume wema mara nyingi wanakua wamepoa sana hawana mambo ya ugomvi, ulevu, ukali, drama za kuchepuka n.k
Kuna circle mbaya sana ambayo jamii inataka kui-normalized.
-Mwanamke anafanya maamuzi mabovu kwenye dating pool
-Wanaume aliofanya nao huo ujinga wanamkimbia
-Jamii inamsafisha huyu mwanamke na kuwapa presha wanaume ambao hawahusiki wawe wakombozi wa huyo mwanamke.
Lazima wanawake wawe accountable hili iyo circle hapo juu ivunjwe. Vinginevyo trend ya single mothers na fatherless kids itaendelea kushika hatamu.
Anyway., hao wanawake unaowaonea huruma kumbuka wao hawana huruma na wewe. Wewe utamuonea huruma utamtoa kwenye matatizo lakini ukifika wakati wake wa kuchagua kimoja wapo kati ya wewe au masilahi yake hatakua na huruma kama yako. When it comes to their interests women are detwrmined and ruthless, they don't give a fvck about your kindness and sacrifices. Stay awake fella.
Ila baba wa kambo ni uncle, na uncle ni mama... Ila siyo mama mzazi...
TorokaHuyu Single Mama alivyoniganda na Hizi Nondo zako.
Zimenichoma kumoyo sana.