Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,949
- 4,444
Mara zote imani huja kwa kusikia...Na imani hujengwa kwa matendo chanya...Nini kifanyike?1. Mara zote yakupasa kujenga mahusiano na watu wenye mawazo chanya (Wenye kutia moyo)2. Epuka kufanya mambo kwa kuiga (be yourself and don't imitate)3. Epuka kuwaza kushindwa (stop being the captive of negativities)4. Jipe nafasi ya kuwa unaweza kwenda mbele5. Jipende6. Jaribu kufanya kama vile idols wako wafanyavyo au kwa kifupi ishi katika ndoto zakoNB: Imani ndio chimbuko la kujiamini
Kikubwa nikujijengea imani kwa yote unayo yaamini na kuyatenda?