Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,744
mimi nadhani kujiamini kupita kiasi ni ugonjwa mkubwa zaidi ya kutokujiamini.....Kuna hasara pia za kujiamini kupita kiasi? nadhani kunatakiwa kuwa na balance fulani katika kujiamini. Kutojiamini ni ugonjwa mbaya mno wa akili..nilikuwa nao nilipokuwa nakua na hadi sasa kuna baadhi ya maeneo nahisi sijiamini hasa katika mahusiano ya mapenzi
maana mtu anaweza akafanya kitu nyie huku mnaoangalia mkatamani ardhi ipasuke mjifiche, lakini mwenzenu waalaaa, anadunda tu