speechless
Senior Member
- Oct 1, 2013
- 101
- 27
^^
Yalinikuta nadhani nikianza kusimulia ntajaza server za JF..nilijifunza mwanamke ni wa kutazama tu ukitosheka unaendelea na maisha.
Thank God am free and happy without them
^^
Si imeandikwa ishini nao kwa akili jamani!?au mmesahau jichanganye ujiuwe!
ndo hivyo mkubwa! kitu cha muhm naona ni kuwadanganya tu!
nikikumbuka sikulala usiku mzima...
^^
Yalinikuta nadhani nikianza kusimulia ntajaza server za JF..nilijifunza mwanamke ni wa kutazama tu ukitosheka unaendelea na maisha.
Thank God am free and happy without the
tupe japo kwa kifupi tu mkuu tupate kujifunza
Shosti, wanaume wa aina hiyo ni 2% ya wanaume wote na ni vigumu sana kuwatambua, hivyo wengi wetu tunaishia kuangukia kwa wanaume ambao ni "onja-onja" na "chovya-chovya" tu ambao ni mafundi sana wa ku-act kupenda kumbe si lolote.
Dada, hilo wazo lishawahi kuutembelea ubongo wako?
mh labda si kwa wanawake wote mi kuna mwanamke mmoja nilimpenda kwa moyo wangu wote lakini we ndio wa kwanza kusaliti na kunita ----- kwasababu tu alikuwa ananifanyia vitu vya kijinga then mi nasamehe akawa anawasimulia rafiki zake jinsi anavvyonifanyia na kuwa ambia upendo gani hili ni ----- tu basi full kuchoreka kwa rafiki zake nyie wasichana nyie mi nilisha nawa mikono kwenu
si vzur msichana kugundua kwamba unampenda 100% maana weng wao wanajiona wao ndo bora zaid na anaanzisha visa vya hapa na pale hakijua kwamba ni vigumu we kubanduka kwake.wengine wanadilik kuanza kucheat na kutoka nje.
Ndio maana mm nikimwona mwanamke ametelekezwa wala simuonei huruma...... Na dawa yao ni kuwaharibia future yao tu..