Hasara ya kuzaa nje ya ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hasara ya kuzaa nje ya ndoa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Carter Jr, Feb 22, 2012.

 1. C

  Carter Jr Member

  #1
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kijana mmoja alitaka kuoa akamwambia baba yake kaniposee msichana fulani,baba yake akamwambia tafuta mwingine kwani yule ni dada yako ila mama yako hajui...akatafuta tena wasichana wawili na baba yake akamwambia hivyo hivyo.!! Kijana akaenda kumwambia mama yake,mama yake akasema...wewe nenda kamuoe yeyote kati yao kwani yule si baba yako ila yeye hajui. :)
   
 2. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Zee Original Comedy lol.....
   
 3. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Mmmhh natafakari kwanza
   
 4. egbert44

  egbert44 JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2012
  Joined: Mar 17, 2006
  Messages: 361
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Chakachua nikuchakachue kudadadeki i'm a boss ur a messenger, i'm a syringe ur a buttock!
   
 5. Wonder Woman

  Wonder Woman Senior Member

  #5
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii balaa.
   
 6. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ningelikuwa ndiyo baba wa huyo kijana, ningelimwambia, "We nenda kaoe yoyote, hao wote siyo watoto wangu, nilisingiziwa kama mama yako alivyonisingizia wewe". Hapo ngoma droooo.......!!!!!!!!!!!
   
Loading...