Hasara juu ya hasara( hasara promax)

Na mabadiliko ya serikali ya Marekani, wengine nao wakibadilisha sera zao ka Marekani.... baada ya uchaguzi tutatakiwa tufunge mikandaa kinaga ubaga
 
Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah watabubujikwa machozi ya huzuni
#Habari: ''Kufikia Tarehe 30 Juni 2024 deni la serikali lilifikia shilingi Trilioni 97.35, kiasi hiki kimeongezeka kutokea shilingi Trilioni 82.25'' - Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali - CAG - Mr. Charles E. Kichere

#EastAfricaTv #HainaKuchoka #RipotiyaCAG
 
Kwahiyo kila mtu anadaiwa sh ngapi, nataka kujua deni langu ili nikalipe kabisa
 
Hivi ukiwekwa utaratibu wa mashirika ya umma yawe yanalipa mishahara wafanyakazi wake na kujiendesha yenyewe je wataendelea kuzalisha hasara kama hizi kila mwaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…