Wapi kwenye afadhali? Mbona kila mahali ni majanga?? Mwisho wa siku mwananchi ndio anabeba mzigo wote huu. Halafu mazwazwa yako busy kusema tano tena. Shame.!
Credit: Maudhui ni Malisa G.JView attachment 3284924
Ubinafsi unalitafuna Taifa hili ,na huo mzigo wote wanatwishwa wa Tanganyika, Mungu atuondolee chawa wote pamoja na mabosi wao ,yaani waimba mapambio na waimbiwa mapambio ,Amina