Hasara irukayo

Hasara sio jambo geni kwa serikali hio huduma ya usafiri ni huduma kama zilivo huduma zingine kama umeme, maji, afya, elimu ambazo ni hasara maradufu ya huduma za ndege.
 
wewe ni baadhi ya wasenge mnaofaata upepo kipindi ndege tz hakuna mliongea leo ndege zipo mnaongea
Watanzania tuwe tunapanda ndege basi, siyo tunajazana kwenye super feo na dar lux!, tupende vya kwetu kwa vitendo 😂😂😂😂
 
Watanzania tuwe tunapanda ndege basi, siyo tunajazana kwenye super feo na dar lux!, tupende vya kwetu kwa vitendo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
iyo ni meseji sent kawambie na nyumbu wenzio wa ukiwa [emoji1783][emoji1783]
 
Hasara sio jambo geni kwa serikali hio huduma ya usafiri ni huduma kama zilivo huduma zingine kama umeme, maji, afya, elimu ambazo ni hasara maradufu ya huduma za ndege.
Ni kutojua vipaumbele.
Angalia shule za mwaka 2019
 
Wooote mko sawa ila tunaomba siku ukija utawala mwingine na kuamua kuwahurumia wananchi wanyonge kuwapunguzia uzito wa kulibeba hilo dubwashika kwa kodi zao na kuliacha lijiendeshe au lijifie, msianze tena kulalama kaja huyu kaua mashirika ya nonino.
 
Rwanda air inafanya kwa hasara sisi nao tumeamua kuwaiga hahaha...mwefrika bhana.
 
Ndege yetu...

Ni vile tu uchumi umeyumba kwa wengi awamu hii...

Ingekua hiyo ndege imekuja enzi za Jakaya ingejaa mpaka wengine wengewekewa vigoda katikati wakalie...



Cc: mahondaw
 
Wenzetu wanakwepa hasara lakini sisi Hasara tunaivalisha mabawa ni mambo ya ajabu sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…