Has the Devil come back to Tanzania wearing a different uniform?

Hawa mabeberu washaishika ndevu serikali ilio madarakani, si ajabu wao ndo wana~fund ili iendelee kuwa madarakani ili wao waendelee kunyonya. Bila kupindua serikali ili mambo maovu yajulikane, tunajitekenya na kucheka wenyewe tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom