HARUSI

Fundi mwenzetu alikuwa anaoa, ni mwislam basi washkaji zake akatualika kwenye jambo lake.
Tukapata kanzu za mchongo tukafika eneo husika.

Mimi na wenzangu tukakaa mikeka ya nyuma kabisa, ila mmoja wetu akaenda pale pale wanapochoma ubani

Sasa Kuna maneno Huwa yanatamkwa na mwenzetu yule mtu wa Njombe na kiarabu mbalimbali kabisa.

Sasa sisi hatuna mbavu maana wakifanya hivi yeye anafanya vile
๐Ÿ˜
 
Hebu tuone alivyokuwa anafanya๐Ÿ˜Ž
 
Hawanitaki mkuu
Unakula Hela zao tu unayachuna mabuzi ๐Ÿ˜
Nimekuuliza unaolewa lini ni swali ambalo pia sitaki mtu aniulize kwamba Unaoa lini?

Badala hata mtu akuulize jambo la maana kwamba utanunua gari au kuwa na jumba la kifahari lini, anakuuliza unaoa lini ๐Ÿ‘Ž
 
Jambo zuri nadhani umeona Raha ya uislamu kaka uislamu ni Raha basi tu matukio kama hayo ya harusi ni Raha tupu
 
Atakuja mkristo atasema pia ukristo ni raha.
Raha inategemea na mtu mwenyewe.
Mfano mimi kutojihusisha na dini naona ni raha pia kwangu.
Raha ya uislamu Haina ubaguzi kwenye mambo kama hayo ya harusi, mnakaa pamoja hata na raisi wa nchi mnakula pamoja kwenye sinia inaleta amani sana na umoja na mshikamano, mnacheza pamoja unaenda kula pilau bila kadi au kualikwa hata kama ufahamiki
 
Unakula Hela zao tu unayachuna mabuzi ๐Ÿ˜
Nimekuuliza unaolewa lini ni swali ambalo pia sitaki mtu aniulize kwamba Unaoa lini?
Sasa ela tu nazo ndio niingie ndoani mkuu๐Ÿ˜ซ
Badala hata mtu akuulize jambo la maana kwamba utanunua gari au kuwa na jumba la kifahari lini, anakuuliza unaoa lini ๐Ÿ‘Ž
Mimi sitaki kulazimishwa au kuulizwa hayo mambo sio ya msingi sana! Kujitafutia matatizo tu๐Ÿšฎ
 
Nimembagua nani?
Nilipo kutaka si ulisema mi hapana, sasa mbona leo unasema hawakutaki unajua inshu serious kama hizo kusema hivo inakua sio poa ungesema sijapata nae mtaka ila kutumia neno hawanitaki una Manisha nami sikutaki ilihali mimi nilirusha nanga ukanichomolea mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ