Kigarama
JF-Expert Member
- Apr 23, 2007
- 2,492
- 1,230
Siku hizi Harusi zimekuwa si sherehe za kuwapongeza maharusi bali ni shughuli za gharama sana!!!
Siku hizi ili kamati za harusi zianze kujadili kuandaa harusi yako angalau wewe muoaji uwe na kiasi cha shilingi si chini ya milioni 3 au tano inategemeana na ukubwa wa Harusi. Lakini hizi gharama za kuandaa harusi ni halisia au kamati za harusi huwa zinachakachukua? Wakati mwingine mnapomchagua Mwenyekiti wa Kamati na yeye anawapa "Pendekezo" la kumchagua Katibu wake, huwa najiuliza hapo hakuna njama kweli?
Ili Harusi zisiwe za gharama sana ambazo maharusi hawaambulii kitu zaidi ya zawadi ya "Gas Cooker" kutoka kwa wanakamati, ni nini kifanyike ili kupunguza gharama za Harusi zetu ambazo sasa zinafikia nyingine hadi shilingi milioni 200?