This I Promise You - NSYNC

I Do Cherish You - 98 Degrees

Here and Now - Luther Vandross

I Will Always Love You - Whitney Houston

Kiss from a Rose - Seal

Tonight I Celebrate My Love - Peabo Bryson & Roberta Flach

Save The Best For Last - Vanessa Williams

When I Fall In Love - Nat King Cole

The Way You Look Tonight - Tonny Bennet

For You - Kenny Lattimore
Nyimbo ya taratibu i recommend huu:
..A Whole New World, a song by Peabo Bryson&Regina Belle
This I Promise You - NSYNC
I Do Cherish You - 98 Degrees
Here and Now - Luther Vandross
I Will Always Love You - Whitney Houston
Kiss from a Rose - Seal
Tonight I Celebrate My Love - Peabo Bryson & Roberta Flach
Save The Best For Last - Vanessa Williams
When I Fall In Love - Nat King Cole
The Way You Look Tonight - Tonny Bennet
For You - Kenny Lattimore
BabaDesi alishawahi kutujulisha juu ya huu wa Patrick Balisidya na Afro 70 'Wana Afrosa'....Kibao kinaitwa HARUSI:
Kuoana ni jambo la sifa,
Na tena ni jambo la fahari kubwa,
Katika historia ya binadamu,
Ni shangwe isiyo kifani,
Kwa watu wawili waliopendana,
kuoana katika ndoa kamili,
Hivi leo Ndyanao na Saibaa mnaona,
Kumbukeni wazi mmetimiza ahadi yenu kwa mungu,\
Harusi mliyofanya ni kiapo kitakachowahukumu,
mara mtakapo jaribu kutengana,
Katika hali yoyote kaeni kwa amani nawausia,
Mpaka kifo kije kuwatenganisha x 2
(chorus)
Jaribuni kuwaepuka marafiki wabaya,
kwani huenda wakaipotosha ndoa yenu,
mkatenganaa, wakawadharau,
Wakumbukeni wazazi wenu wa pande zote,
watapopatwa na shida yoyote ile,
wasaidieni, mtapata baraka,
Kuweni na moyo wa mapenzi kwa mtu,
tena muwe wacheshi kwa kila mtu,
ni sifa kubwaa, mtaheshimiwa,
Kuweni wakarimu wakubwa nyumbani mwenu,
mzaapo watoto wenu muwatunze vyema,
wawe na adabuu, na heshima nyingii,
ndivyo walivyoishi wazazi wetu x 2
Patrick Balisidy aliutunga na kuuimba huu wimbo kwa ajili ya harusi ya dada yake Ndyanao kwa Saibaa kama anayowataja kwenye ubeti wa tatu.
aiyeyeeeeeeeee, aiyeyeeee, aiyeyeeeeeeeee tanzania maua
genda wibuleeee, genda wibule, genda wibule babili bana bijulee.
rudiarudia mara nyingi kadiri upendavyo.
hili ni papmbi la kabila la wajita wanaoishi huko Musoma. tafsiri yake ni kuwa nenda kazae watoto wawili, watoto wajazane nyumbani! ni wimbo wa kuombea baraka ya uzazi kwa maharusi siku ya ndoa yao.
Glory to God!
Wakubwa shikamooni
Wadogo marakhaba..
Wengineo mambo zenu..
Nway mie ningependa kuuliza
Nyimbo gani za harusi nzuri ..?
Au nyimbo gani zilikuwa kwenye harusi yako.?
Na kama bado hauja olewa / oa
Unapendekeza zipi? ..
Kuanzia kichangasha ukumbi, wa taratibu,
yaani nyimbo zozote watu watakazo
Furahia na ku cheza ..
Na tanguliza shukrani..
AD.

kobyala ng'wana nkema, kwilolela banu kaganda kaganda

mlemona no nina wa mwana, alebina sundasunda

hahahahaaaaaa wasukuma mpoooooo

nwingine

Naaaaanogaga sana

mambalagi gosata na nogongo

pyeno kembele, na makono gale seba, ko nguno

lya lugendo, nenelagi motokaaaa

nolo basikeli, noyenemotoka

nolo mkokoteni, noyene motoka

nolo sikania, noyene motoka

najua nimekosea maneno ila nimejitahidi mwenzangu

hizo ziliimbwa sana kwenye harusi yangu lol