- Thread starter
- #21
Nakushukuru maana wengi wao hapa wameonekana wanaifurahia hiyo hali ni kama siwaelewi kwamba are they serious au wanapenda kuchangia negative tuuu?ukweli inaboa kwenye sherehe ya mwenzio we ndo uje utunzwe mara utasikia mashoga wa dada yake na mtarajiwa wanataka kuja kumtunza huyo dada mtu utaona msururu wa watu halafu mbaya zaidi wanakuja na kitenge doti moja hapo wamechagua na wimbo kabisa wa kuwaingiza hii ni kupoteza muda tu, ukiangalia shughuli yenyewe imeanza saa tatu kwa uzembe wa wakwe kutozingatia muda mana huwa najiuliza shughuli haiwezi kuanza bila wakwe kuwepo?????