HARUSI YANGU..mfano wa kuigwa!

We acha kuweka picha za watu bila idhini yao.
 
Ilishawahi postwa hapa.
Halafu harusi nyingi maeneo ya vijijini zilikuwa za namna hiyo.
 
nimeipendaaaa sanaaa..sijui smile takubaliii tufungeee kamaaa hiyo kuleeee kilemaaa kwa babu
 
Bado sana,

Misuti na migauni ya harusi hiyo inakupa complications bado.
 
Ingawa unataka ionekane rahisi haikuwa rahisi kiasi hicho!!
Toilet paper zenyewe zilikuwa hazipatikani mpaka ujuane na meneja wa RTC.
 
i guess itakuwa mkoani Mbeya,wanapenda suti kama wasabato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…