Huyu wa pembeni mama huyo ndo mama ake huyu Dr. Ali Salim?
Huyu kijana wa salm mbona kaoa mzee au kuna exchange kati ya baba na mtoto? maana yangu ni kwamba kijana kasimama na mama yake wakati baba kasimama na mkamwana nafikiri itasound zaidi
Jk akiwa katika picha ya pamoja na Katibu mkuu mstaafu wa umoja wa Afrika Dr.Salim Ahmed Salim(kushoto) Pamoja na Mkewe Amne Salim(kulia) na Dr.Ali Salim Pamoja na mkewe Karly Salim wakati wa sherehe ya harusi yao iliyofanyika Ijumaa katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijinji Dar
Maashaalah..mkewe Salim anaonekana kijana mno...
duh!
Hata mimi inanichanganya huyo mama mzee ni mke wa Salm au ni wa Dr.Ally Salim?
dogo hapo kasimama na MAMA yake, na dingi kule kasimama na MKWE wake, simple.
ur damn rightWamanga utawajua juu walivyo na kasumba za ngozi nyeupe. Huyu mtoto wa Salim A. Salim atakuwa kakosa binti wa Kimanga wanayelingana kielimu na kimtazamo wa maisha kutokana na highly privileged background aliyokulia. Only option aliyobaki nayo ni kuoa Mzungu kwa kulazimisha. JK hapo wanamuona kama tumbili tu (in the back of their minds.) Hapo Salim A. Salim na mkewe wameridhika kweli angalau wajukuu watatokea weupe kama Wazungu! Damn!
and that is wrong!Don't ge me wrong...there's nothing wrong with the coat....it just didn't go well with the occassion...I think
nah jamaa walikuwa wote Foreign ni washkaji tuu ..au home boys
bt the way lile koti na hili yana tofauti?
I think this is not FAIR, huu ni wivu tu wa watu. Bukueni nanyi mpate vilivyo vyenu kuliko kuanza kumuita mtu Kipanga. I think he deserve what he has achieved.
Wamanga utawajua juu walivyo na kasumba za ngozi nyeupe. Huyu mtoto wa Salim A. Salim atakuwa kakosa binti wa Kimanga wanayelingana kielimu na kimtazamo wa maisha kutokana na highly privileged background aliyokulia. Only option aliyobaki nayo ni kuoa Mzungu kwa kulazimisha. JK hapo wanamuona kama tumbili tu (in the back of their minds.) Hapo Salim A. Salim na mkewe wameridhika kweli angalau wajukuu watatokea weupe kama Wazungu! Damn!
umeambiwa huyo ni ruge mutahaba,sasa kibonde katoka wapi?Duuuu!!!! kumbe brother Kibonde yupo juu, amekaa meza moja na Rais wa nchi.
Wamanga utawajua juu walivyo na kasumba za ngozi nyeupe. Huyu mtoto wa Salim A. Salim atakuwa kakosa binti wa Kimanga wanayelingana kielimu na kimtazamo wa maisha kutokana na highly privileged background aliyokulia. Only option aliyobaki nayo ni kuoa Mzungu kwa kulazimisha. JK hapo wanamuona kama tumbili tu (in the back of their minds.) Hapo Salim A. Salim na mkewe wameridhika kweli angalau wajukuu watatokea weupe kama Wazungu! Damn!
Hiyo ni laana yako wewe ngozi nyeusi kumuwekea Dr. Salim na ukoo wake maneno yasiyokuwa na msingi hata kidogo.
Una ushahidi wo wote kuwa yeye ni mbaguzi hata ukaanza na neno 'wamanga'? Jamani ubaguzi na wivu kwa sababu ya rangi utawaisha lini nyinyi?
Na unawajua watoto wake wengine wameoa au kuolewa na akina nani?
Wakati watu mkiendelea kupiga kelele kuhusu pamba, ebu angalieni huyo dogo alivyokula shule. Niliangalia hii webiste kiasi fulani sikuamini kwani umri( I am just guessing, he is in mid or late 40s) na mambo aliyoyafanya haviendani !
Ali Salim MD