Harusi ya mtoto wa Salim

Status
Not open for further replies.

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
salim.jpg

Jk akiwa katika picha ya pamoja na Katibu mkuu mstaafu wa umoja wa Afrika Dr.Salim Ahmed Salim(kushoto) Pamoja na Mkewe Amne Salim(kulia) na Dr.Ali Salim Pamoja na mkewe Karly Salim wakati wa sherehe ya harusi yao iliyofanyika Ijumaa katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijinji Dar

Maashaalah..mkewe Salim anaonekana kijana mno...

duh!

Jk naye naona tangu Cisco aondeke anachemsha kwenye pamba sijui vipi tena..jamani watu wa Ikulu mbona mnaboa?

safi sana..watu wanatakiwa kuoa kabla mwezi wa toba haujaingia

sefunajk.jpg

btw

akiwa na Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Shariff Hamad pamoja na Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Abdulrahman Kinana wakati wa sherehe ya harusi ya Dr. Ali Salim Ahmed Salim mtoto wa Katibu mkuu wa mstaafu wa Umoja wa Afrika Dr.Salim Ahmed Salim iliyofanyika Ijumaa katika uklumbi wa Diamond Jubilee Hall jijini Dar
 
Last edited:
Unakula na kipofu bila kumshika mkono. unajichanganya tu maana aliyekupita kakupita tu. Its good idea
 
Salim hawezi mwacha ndugu yake Maalim hata kama wanatofautiana kiitikadi..
 
Huyu kijana wa salm mbona kaoa mzee au kuna exchange kati ya baba na mtoto? maana yangu ni kwamba kijana kasimama na mama yake wakati baba kasimama na mkamwana nafikiri itasound zaidi
 
Haswaa..... Ndivyo ilivyo!

Hiyo ni kukoleza udugu, kwamba binti amekuwa mtoto wa familia ya mzee

Salim, na mama Salim kapata Kijana!

Ni Protocal za kawaida katika maharusi!
 
mke wa salimu kapendeza kweli....
JK anatia aibu, jamani huko ikulu hata kumvalisha raisi hawawezi, nini sasa wanawweza???
 
bwa ha ha ha koti la JK limemkaa kama limetundikwa kwenye heng'a......ni moja kati ya suti mbaya kuziona maishani mwangu
 
JK hajavaa suti. Kavaa suruari na koti (blazer). Tena hilo koti linaonekana kama 'sport coat'.
 
noo linaonekana kama limetundikwa.....hili vazi la JK ni baya sijawahi kuona.....mama salma na yule mke wa pili wana kazi gani?
 
Inaelekea hujui maana ya 'sportcoat'.

A sportcoat (sports coat, sports jacket), also mistakenly called a blazer, is a tailored coat for men. It is of a similar cut to a suit coat, but is designed to be worn on its own and not as part of a suit. Styles therefore may be less restrictive. Compared to suit jackets, sturdier fabrics are used, such as woolen tweed or houndstooth. Originally sportcoats were worn as casual attire for hunting and other outdoor sports. Today the sportcoat is used as casual wear (e.g. for recreational use, or in America even for business) and is the mainstream coat of choice in North America. A shooting jacket is a type of sportcoat with a leather patch on the front shoulder to prevent wear from the butt of a shotgun or rifle, frequently with matching leather patches on the elbow. A hacking jacket is a wool sportcoat for casual horseback riding, often of tweed and traditionally with a single vent. A blazer is similar to a sportcoat, but differs in having a nautical origin.

Source: Wikipedia
 
Mrisho alikuwa anawinda nini?
 
HILI.coat lililovaliwa na rais,tradename ni EKURO,ni japanese product na kwa mwaka this handsewn coat ni 50 tu yanayotengenezwa,kuna backlog ya orders ya 2 years,na watu kama bondia Tyson order yake ilikataliwa eti because he is a hoodlum not fit to grace the coat,how kikwete got this coat mimi sielewi,lakini i think vipimo katuma vidogo hence coat linaonekana baya.otherwise hii ni product kali sana ambayo mimi,Yoyo na Omega can only own in daytime dreams
 
bwa ha ha ha koti la JK limemkaa kama limetundikwa kwenye heng'a......ni moja kati ya suti mbaya kuziona maishani mwangu
Ndani amevalishwa na 'bullet proof jacket' hivyo kumfanya aonekane hivyo.
 
Huyu kijana wa salm mbona kaoa mzee au kuna exchange kati ya baba na mtoto? maana yangu ni kwamba kijana kasimama na mama yake wakati baba kasimama na mkamwana nafikiri itasound zaidi

Hata mimi inanichanganya huyo mama mzee ni mke wa Salm au ni wa Dr.Ally Salim?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom