Harusi ya kimasikini

Huyo mtumishi mbona ametokea kikadakada.
Hongera sana wanandoa. Nimependa sana
 
 
baada ya hii habari wamepewa offer ya honeymoon mombasa siku tano n.a. return air ticket
 
Wamepewa offer ya kwnda honeymoon Mombasa, na inasemekena kuna watu wanajopanga kuwafanyia sherehe.
Jamaa anasema baada ya ndoa walirudi nyumbani wakala ugali na sukuma wiki
Hizo pete zimegharimu 50 bobs
 
Kweli mkuu mengine mbwembwe tu ili mradi Mungu ameibariki
 
Halafu kavaa rangi za kile chama chenye nuksi kilichowafanya Wadanganyika kuwa masikini zaidi ya miaka 50; atawasababishia nuksi hao wanandoa
Nakwambia hawatasalimika kabisa
 
Sasa umaskini hapa umetoka wapi? Jamani tujiongeze tunapoongelea umasikini tuangalie na tafsiri yake. Umaskini in hali ya MTU kushindwa kupata kipato kina nachowezesha kuyamudu MAISHA yake hata kwa mlo mmoja . sasa wenzetu hawa wamevaa vizuri wana afya njema wanamjua Mungu wanafunga ndoa yao kwa imani yao kweli tunawaita maskini? Hii sii sawa
 
Siku mwanaume huyu akipata, dada hatalala usingizi tumeyaona maskini huwa wabaya wabaya wabaya huwa hawakumbuki nafikiri kwa ajili ya shida walizopitia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…