Sio harusi hiyo ni ndoa,harusi ni Yale masherehe mnayo fanyaga ukumbini na mbwembwe zingine kama kutembea barabarani na magari ila kanisani hakuna harusi kanisani kuna ndoa tu.hapo wanafunga ndoa ila huwezi kufunga harusi.harusi haifungwi ila harusi inasheherekewa.