TUPAC WA MWAKALELI
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 354
- 105
best mbona nasikiaga jamaa ni mnyakyusa wa Mbeya na jina lake halisi ni Wenston Mwakanye ila baada ya kuhamia huko Marekani akajiita Kanye West? Vipi wazazi wake walienda?Safi hii
Ooyooo mashallah mtoto kaumbika utasema lulu chini ya bahari
ila kuna njema inaitwa Ray J ilishafumua marinda yote ya back huko.Ooyooo mashallah mtoto kaumbika utasema lulu chini ya bahari
best mbona nasikiaga jamaa ni mnyakyusa wa Mbeya na jina lake halisi ni Wenston Mwakanye ila baada ya kuhamia huko Marekani akajiita Kanye West? Vipi wazazi wake walienda?
Mnyaamwezi akimkamatiaga mzungu naonaga raha ujue...ananikumbusha speech ya peter botha...hii ipo poa sana! vp kadi za michango twaweza kuchanga!?