Harusi ya James Ole Milya - Mei 03, 2014

Harusi ya James Ole Milya - Mei 03, 2014

sitaki kuongea sana mimi ni mkazi wa arusha, sijawahi kusikia hizo tuhuma, ila naona hizo political hatres.

James Ole Milya ameungana na tapeli mwenzake sugu Richard Birikaa (wote wamasai) kumwibia mama wa kimasai gari yake aina fuso na kumwuzia Maiko Shirima wa Fire Arusha. Kesi ilikuwa mahakama ya wilaya ya Sekei akanyang'anywa hakimu Patricia Kisinda baada ya Ole milya, Richard na mawakili hatari kwa kudhulumu haki za watu, Ojare na Akida kumhonga ili hakimu Patricia Kisinda atoe hukumu ya upendeleo. Siku Mdhulumu mkuu wa haki za watu anayeishi kwa kusaidia matapeli, wakili Akida pamoja na Ole Milya walishindwa kumtoa Richard birikaa mahabusu polisi, Arusha kati alipolaa hadi alipofikishwa tena mahakamani. Kesi inaendelea.
 
Ole Milya bila haya wala huruma, alipewa mgao wa fedha za fuso ya mama wa kimasai iliouzwa na Richard, akaenda kutengeneza gari yake ndogo Nairobi. Huyo ndi James Ole Milya anayedai ni mwanasheria wa kutetea haki za binadamu! Ni tapeli hatari sana asiyekuwa na aibu wala utu.
 
James ole Milya ni tapeli hatari sana. Ametapeli mama wa kimasai gari yake aina ya fuso akishirikiana na tapeli mwenzake sugu, Richard Birikaa. Kesi ipo mahakamani wakisaidiana na mawakili Ojare na Akida ambao wanaongoza nchini Tanzania kudhuluma haki za watu kwa kutumia vibaya taaluma yao uanasheria. Wakijua fika Ole Milya na Richard Birikaa wametapeli gari la mama wa kimasai na kuuza, sasa wanahaha kutafuta namna ya kumhonga hakimu. Wamefanikiwa kumhonga hakimu Patricia Kisinda wa mahakama ya wilaya ya Sekei, Arusha ili aweze kutoa hukumu feki, lakini Patricia amenyang'anywa kesi na inaendelea kusikilizwa na hakimu mwingine. Hawezi kupata ubunge kwa kuwa ni tapeli hatari!
 
Ni sawa kabisa. Lile jambazi aliyemtapeli mama wa kimasai fuso yake. Tunashukuru Mungu kesi ipo mahakamani na naamini haki itatendeka. Nasikitika tapeli kama huyu anawezaje kuoa na watu kuhudhuria sherehe yake. Fedha za maandalizi ya harusi nina uhakika ni za utapeli toka kwa tapeli Richard Birikaa, wadhulumu haki za watu, mawakili Ojare na Akida.
 
Umevurugwa.
 
James Millya ni hatari sana,alikuwa anatembea na demu wangu na akamnunulia gari,ndo maana nikashangaa kuona demu wangu anazidi kubadilika tu,kumbe katekwa na hilo jambazi na uaji hatari,siku moja nikampigia cm demu akanijibu kwa nyodo kichizi,halafu lile jambazi lilipokuta received call kwenye cm ya yule demu likanipigia na kunitishia,inasemekana ni lenyewe pia lililomuua bilionea Erasto,nani anajua jina la mke wa huyu jambazi aliyeoa? kama yupo alitoe,inawezekana akawa ni yulele.kama litaendelea kuwa cdm mi nitahama.
 
Fanya mazoezi kijana la sivyo watabambia kila unaekua nae,si kulalamika hapa
 
James Ole Milya ameungana na tapeli mwenzake sugu Richard Birikaa (wote wamasai) kumwibia mama wa kimasai gari yake aina fuso na kumwuzia Maiko Shirima wa Fire Arusha. Kesi ilikuwa mahakama ya wilaya ya Sekei akanyang'anywa hakimu Patricia Kisinda baada ya Ole milya, Richard na mawakili hatari kwa kudhulumu haki za watu, Ojare na Akida kumhonga ili hakimu Patricia Kisinda atoe hukumu ya upendeleo. Siku Mdhulumu mkuu wa haki za watu anayeishi kwa kusaidia matapeli, wakili Akida pamoja na Ole Milya walishindwa kumtoa Richard birikaa mahabusu polisi, Arusha kati alipolaa hadi alipofikishwa tena mahakamani. Kesi inaendelea.

ole millya ni jambazi sugu.arusha nzima anajulikana
 
Unaposema umevurugwa unatakiwa kueleza umevurugwa na nini. Huwezi kuvurugwa na tapeli, James Ole Milya. Huyu ni tapeli na ni mdhulumu haki halali za watu. Siamini kama atafika mbali kabla hajaaibishwa mbele ya watanzania wapenda haki, ambao hawataki utajiri wa mkato kama anavyofanya Tapeli James Ole Milya na Tapeli mwenzake hatari sana, Richard Birikaa wakisaidiwa na matapeli wengine majasiri wa kudhulumu haki za watu kwa kutumia taaluma yao ya uanasheria, wakili Ojare na wakili Akida. Matapeli hawa kwa pamoja ( James Ole Milya, Richard Birikaa, Ojare na Akida), wanapanga kuuza nyumba anayopanga Richard Birikaa ilioko eneo la Njiro katka jiji la Aruaha kwa kugushi nyaraka za nyumba hiyo. Tayari tapeli Richard Birikaa anawaambia watu hiyo nyumba anayoishi ni yake, na ataka kuuza ili aende kwa baba yake Mzung Pedersen anaishi Denmark. Mwenye nyumba chukua tahadhari isje kuuzwa kama fuso wa mama wa kimasai ilipouzwa na matapeli tajwa hapo juu.
 
James Ole Milya in Jambazi, hawezi kupata jimbo kwa kuwa atawatapeli wananchi wa Simanjiro kama alivyotapeli mama wa kimasai gari lake. Hilo ni jambazi sugu, na siku zake zinakaribia mwisho pamoja na kumtumia majambazi wenzake Richard Birikaa, mawakili amabao ni hatari sana kwa utapeli nchini Tanzania na hasa katika jiji la Arusha, wakili Ojare na wakili Akida, na pia binti mdogo Jacline wa Mawala Advocates ambaye ni girl-friend wa tapeli Richard Birikaa. Huyu binti Jacline ameanza urafiki wa ngono na James Ole Milya ili waweze kufanikisha kazi yao ya utapeli jijini Arusha.
.
 
Back
Top Bottom