Mwanasheria, Mwanasiasa na mfanyabiashara maarufu amefunga ndoa na kufanya harusi ya nguvu jijini Arusha.
Katika sherehe hiyo imepata kuhudhuriwa na viongozi mbali wa serikali na wakisiasa kama waziri wa maliasili na utalii ndugu Lazaro Nyalandu, mwenyekiti wa CHADEMA Freeman mbowe, wabunge kama vile Joshua Nasari, Godbless Lema, pia meya wa jiji la Arusha, mkuu wa wilaya ya Arusha na vióngozi wengi wa kada mbalimbali.
Sherehe hiyo ilitawaliwa na harufu kali ya siasa kwa kuwa katika kutambulisha ilipofikia wakati wa viongözi wa siasa wageni waalikwa walitoa kelele za kisiasa.
Jamani, watanzania tunakokwenda sijui, vilevile MC aliyetokea Kenya alisikika akisema Ole Milya ameshapata jimbo na atakua mstari ma mbele kumnadi wakati ukifika.
Nawasilisha