Harusi yako mwenyewe kuifanikisha tuifanikishe siye...
Huwa wananikera sana watu wanaokaribia kuoa, huwa wanang'ang'ania kama kigando cha mav.i ambacho hakijatawazwa vizuri...
Wengi washazoea vibaya kwa kujishaua eti utasikia "wewe kama ndugu wa karibu unapleji shilingi ngapi?" ukiuliza kwani kima cha chini kiasi gani? unaambiwa laki 2...khaaa kwani kuna mtu anapelewa INDIA kutolewa bone marrow!!

Harusi yangu ilikuwa mimi mume na judge baada ya hapo fireworks na wine .tukawatumia barua wazazi tumeoana.mama angu na ukatibu wote jasho lilimtoka.oh kwa nini umefanya hivyo oh ningekufanyia harusi ili watu wanione akanipa zawadi ya mjumba basi .I believe wedding is a waste of money pesa zote nipe mkononi nikafanye shoppingHarusi zinaonekana ni gharama kwa sababu watu wanazifanya hizi kwakuangalia watu wengine!
Unakuta watu wana ng'ang'ania harusi za gharama wakati huwezo hakuna!
Inashangaza kuona watu wanafanya harusi za gharama alaf baada ya harusi maisha ya tabu na shida!
Mi naona ni vyema kufanya kitu ndani ya uwezo wako kuliko kusumbua na kukimbizana na watu!
umeoa kaka, najitolea kua mwenyekiti wa kamati if bado maana haitakua pasua kichwa kima cha chini
..ulichosema kweli kabisa, unakuta sendoff/harusi budget milioni 15-20 halafu.zote zinategemea mifuko.ya watu....walahiiiii inakera kweli...wanadai kama walikukopesha wakati ni hiari kuchangia
Harusi yangu ilikuwa mimi mume na judge baada ya hapo fireworks na wine .tukawatumia barua wazazi tumeoana.mama angu na ukatibu wote jasho lilimtoka.oh kwa nini umefanya hivyo oh ningekufanyia harusi ili watu wanione akanipa zawadi ya mjumba basi .I believe wedding is a waste of money pesa zote nipe mkononi nikafanye shopping
..ulichosema kweli kabisa, unakuta sendoff/harusi budget milioni 15-20 halafu.zote zinategemea mifuko.ya watu....walahiiiii inakera kweli...wanadai kama walikukopesha wakati ni hiari kuchangia