Harusi Ni Harusi

Kuna kila dalili ya wana kamati kuwekwa ndani hapa
 
Naomba nikisie kama nimekosea amavubi nikosoe.
1. Wakimbizi wa Burundi wapo kambini na keki imeandaliwa na mchungaji au watu wa UNHCR
2.Harusi ya mkeka ya fumanizi ila Bw. harusi kapata wa kumvulia suti fasta. Bi harusi kabaki na tshirt yake ila shera ilitoka wapi? Mosquito nets? cc. amavubi
 
Meza imependeza kuliko maharusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ