Harusi inafilisi watu bila kujua

Harusi inafilisi watu bila kujua

Afadhali umewafungua akili maana wengine uwezo wa kufikiri ni mdogo. Wanachangamkia harusi kama ng'ombe wavyokimbia huku wanarukaruka kumbe safari yenyewe ni ya kuwlekea machinjioni!

hahahahhahaa, umeutoa wapi huo msemo mkuu, duh!
 
Hakuna formulae maalum. Usiige.Fanya kadri uwezavyo.Siyo lazima uchangishe watu na kuwapa presha na kutafuta lawama na chuki zisizo za lazima kati yako na ndugu;jamaa au marafiki !Mara Ooooh! Sijui flani nilimpa kadi hakunichangia!...Mara Oooooh!..Flani anauwezo lakini kanichangia kidogo...Kwani ndoa ni sherehe kubwa zinazogharim mamilioni ya shillingi? Jitazame wewe kama wewe kwanza...kabla hujaanza kusumbua watu. To simplify..waweza muita shehe au padri au mchungaji na watu wanafamilia mhim na mkamaliza mchezo......
 
inasikitisha sana MTU unamsumbua sana akuchangie anafika mpaka hatua anune kanakwamba ni lazima

Hapana bwana michango hailazimishi ila ni kujitoa tu kulingana na hali ilivyo sasa si unajua ktk jamii
 
Milioni 7 haijengi nyumba

Wacha tucheze kwaito miayo si watapiga wenyewe
 
Good title, nice content but scaring avatar!!
 
Unafunga harusi nyumba ya kupanga tena ya gharama milioni saba hata nyumba ya kwako huna kisa unategemea kazi ikitokea umefukuzwa Leo utafanyaje tuwe tunafikiri sana ni aibu na madhara yake ni ya muda mrefu.

Harusi mara nyingi huaga ni biashara innayomwingizia faida kubwa sana bwana harusi kwa sababu yeye huaga hapewi kadi ya mchango.
 
Ni michango ya watu ndugu. Unaonyesha huna experience ya hayo mambo. Ngoja yafike kwako utajua tu.
 
Back
Top Bottom