Haruna Niyonzima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haruna Niyonzima

Discussion in 'Sports' started by Dj Khalid, Jun 23, 2011.

 1. Dj Khalid

  Dj Khalid Member

  #1
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  KIUNGO HARUNA NIYONZIMA 'FABREGAS' AMEJIUNGA NA YANGA KWA MKATABA WA MIAKA 2 AKITOKEA KLABU YA APR YA NCHINI RWANDA.
  .

  [​IMG] HARUNA NIYONZIMA AKIKABIDHIWA JEZI NAMBA 8 NA MJUMBE WA KAMATI YA MASHINDANO NA USAJILI WA YANGA ABDALLAH BIN KLEYB.
  [​IMG]
  HARUNA NIYONZIMA AKIMWAGA WINO KUJIUNGA RASMI NA KLABU YA YANGA KWA AJILI YA MSIMU UJAO WA LIGI.
   
 2. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Te te te msimbazi wamekwisha!
   
 3. M

  Masuke JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Taratibu mkuu, yaani tukwishe kwa sababu katoka APR?
   
 4. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2011
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,280
  Likes Received: 4,286
  Trophy Points: 280
  Dogo ameingia usiku huu
   
 5. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,991
  Likes Received: 3,740
  Trophy Points: 280
  Kifaa safi.

  The signing of the season!!
   
 6. M

  Mushihiri Member

  #6
  Jun 23, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hizo ni mbwembwe tu wala hawawezi kufika popote;tushaazoea kelele zao
   
 7. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kaja mwape hapa.....................leo taka taka ya kutupa chooni.
   
 8. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2011
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  asamoah kafunga na huyo niyonzima mchezaji bora kwenye gem yao huko moro..na bado
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Jun 27, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kila mwaka usajili unafanyika kwa mbwembwe lakini hakuna la maana linalofanyika!
   
 10. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,108
  Likes Received: 6,585
  Trophy Points: 280
  walikuja wengi wakaondoka na kusahaulika.
   
 11. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,606
  Trophy Points: 280
  Tusubiri tuone fitna zitakavyoanza uwanjani hasa kutopewa pasi wasionekane kabisa.....aulize wenzake hapo bado misumari mpira wa tanzania ni balaa sana
   
 12. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jana kachezea APR......................sasa sijui ni mchezaji wa Ndala au?
   
 13. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #13
  Jun 27, 2011
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,322
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  Mkataba wa Haruna Niyonzima na APR unaisha mwezi Septemba 2011 baada ya hapo atakuwa huru kuichezea Yanga kwa maana hiyo ataweza kuanza kuichezea Yanga Mwezi Januari 2011 mara baada ya kumalizika kwa dirisha dogo la usajili la TFF,hapo atapata fursa ya kuichezea Yanga katika VPL pamoja na CL ya CAF..........
   
Loading...