Haruna Moshi Boba

Na kuna huyu mwingine wa nchi jirani okwi nae nidhamu inamrudisha nyuma maana kwa kipaji chake hakua mtu wa kucheza africa kipindi chote hicho
 
Huyo jamaa boban si alikataa mshahara wake ukatwe Na uende kwa wakala
 
Yani hapa navyosoma wadau mnavyojaribu kuelezea sifa za huyu fundi hadi yanataka kutokaa.. Yani huyuu mtu touchez zake nataka kuzifananaisha na kina iniesta, ila alikosa nidhamu kama aliyo nayo samatta
Labda iniesta wa bunju
 
Kati ya wachezaji wa simba nilio wahi kuwapenda ni boniface pawasa,haruna moshi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom