Haruna Moshi Boba

Boban mmoja kati ya viungo hodari kutokea hapa bongo

Mpaka yule mwarabu wa oilcom Islam alimpatia gari la thamani kubwa Haruna moshi ,gari alilokuwa anatembelea Islam ndio alimnunulia Boban ..mpaka Islam akajiita Boban sababu ya Haruna moshi.Haruna moshi akienda uwanja wa muhimbili anapewa 20,000+ kwa siku anakuwa staff ,wakati wachezaji wenzie wakienda muhimbili huambulia pesa chache jinsi Haruna moshi alivyokuwa anakubalika
cdb722e256751033080155d7e4281f77.jpg

Boban akichanganya kiroba

fcb6aecbeebbc2506638069fcbbd6211.jpg

Boban na Chuji wana,wahuni
 
hata mafuta alikua akijaziwa BURE OILCOM sijui kwa sasa
 
fcb6aecbeebbc2506638069fcbbd6211.jpg

Moja ya vitu ambavyo Haruna haamni hata leo ni hawa marafiki zake KUTIMKIA YANGA japo ni SIMBA DAMU
 
Haruna Moshi Boban...moja kati ya viungo bora kabisa kuwahi kutokea katika soka la Tanzania, na bahati nzuri nimemshuhudia mwenyewe kwa macho yangu.

Alikosa menejimenti nzuri akaishia kujifanya Balotelli wa Bongo.
 
Boban atabaki kuwa Boban, balloteli anaigiza utukutu.. Nitamuheshimu huyu kiungo bora kabisa wa miaka ya karibuni..
 
Harafu,mnataka twende afcon,kwa mtindo huu,ngasa mpira umemshinda karud,boban alikariri hakuna mpira za ya simba tu.ona wanayofanya sasa,watabakia kucheza ndondo tu,mtaan.
 
Haruna Moshi Boban...moja kati ya viungo bora kabisa kuwahi kutokea katika soka la Tanzania, na bahati nzuri nimemshuhudia mwenyewe kwa macho yangu.

Alikosa menejimenti nzuri akaishia kujifanya Balotelli wa Bongo.
Mkuu tunaweza kuwa na the same experience. Namkumbuka Boban wa Moro United, then Simba na Stars ya Maximo! Aliujua Mpira. Mpira ukamjua Boban.
 
Japo mimi ni shabiki wa kutupwa wa Yanga lakini kiukweli nilikuwa namkubali sana Haruna Moshi Boban.
Alikuwa ananifurahisha kwa kipaji chake cha kusakata kabumbu na maisha yake (low profile), hakuwa mtu wa kujikweza asilani.

Mwingine ni beki kisiki Victor Costa 'nyumba' daaah those days when men were men.
Sio hawa kina mavugo leo wanacheza vizuri kesho wanatoa boko.
 
Yani hapa navyosoma wadau mnavyojaribu kuelezea sifa za huyu fundi hadi yanataka kutokaa.. Yani huyuu mtu touchez zake nataka kuzifananaisha na kina iniesta, ila alikosa nidhamu kama aliyo nayo samatta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom