Watie limao au makoko ya ugaliKuna vikwapa havisikii maji wala pafume
Leo nimekutana na sura nyingi ngeni kwenye daladala
MImi kwa namna navyozingatia usafi siku nikizingua huwa nahisi utofauti.Nahisi labda sababu unakuwa umeizowea au imekaa kwenye mfumo wako wa hewa. Kila nyumba pia waga na harufu wahusika hawaisikii. π
Wanaune mmeanza dharau sasaπ±Unakuta mwanamke anaenda lodge, haogi vizuri, haji na mafuta, anaogea tusabuni twa gesti, anaenda mapokezi kuomba mafuta, anajinyunyiza na pafyumu ya kupima ile ya elfu kumi. π
Anakuwa kama friji la chafu, ukilifungua nyumba nzima inanuka. π
Halafu kwenye harufu mbaya kidogo nitaje mafuta ya mawese kwenye chakulaπ
Yale ya sulphate? Mbona ya mkono yamezagaaNdio ndio mkuu. Zamani kulikuwa na MADODOKI, siku hizi siyaoni.
Yake yakikuwa yanasafisha mpaka dhambi mkuu! π
hapana ndo zipi hzo π ?Unavijua?π€£
Leo umetoa ya moyoni sana mkuuπ€Ufala mwingine wa harufu mbaya, wewe muhusika unakuwa huisikii! π
anajinyunyiza na pafyumu ya kupima ile ya elfu kumi. π
Khee kumbe linakuoga kitaalamu tofauti na oga hii hii ya maji na showergel? Kuna kubinuka vya aje tena mkuu?
Najuaga Muslims hata ukimaliza hedhi wanakinamna cha kuoga.
Nimeona umefurahia nikajua unajuaπ€£hapana ndo zipi hzo π ?
Inatakiwa walau perfume ya kuanzia bei gani π
Leo umetoa ya moyoni sana mkuuπ€
Wanaune mmeanza dharau sasaπ±
Hapo gesti alienda peke yake?Unakuta mwanamke anaenda lodge, haogi vizuri, haji na mafuta, anaogea tusabuni twa gesti, anaenda mapokezi kuomba mafuta, anajinyunyiza na pafyumu ya kupima ile ya elfu kumi. π
Anakuwa kama friji la chafu, ukilifungua nyumba nzima inanuka. π
Em tudeal kwanza na hiyo namnaKuna utaalamu, sema siku hizi mambo yamekuwa rahisi, fikiria mama zetu enzi hizo hakuna taulo za kike! Sabuni kuipata mtihani! π
Hapo gesti alienda peke yake?
Nimekuwacha kabisaππ€Έπ½ββοΈNiache! π
Yaan hela ya kula kwa 2 weeksWalau mwanamke upate 50k kuendelea yani.
Zingatia neno "Walau" π