Harufu ya upangaji matokeo mechi za play off

marcoveratti

JF-Expert Member
Sep 21, 2017
964
1,687
Breaking News

Gari la Kurusha Matangazo la Azam Tv limezuiliwa kuingia Uwanja wa Nyamanaga Kurusha Mechi ya playoff baina ya Pamba na Kagera Sugar. Hii imetokea baada ya kutokuwepo makubaliano baina ya hizo timu na Azam TV. Mlioko Nyamagana twambieni kinachoendelea
 
Niko Nyamagana timu zote ziko uwanjani wachezaji wanafanya warm up uwanja umejaa mashabiki,, hakuna dalili za mechi kuanza
 
Lkn kuonyesha mechi lazima kuwe na makubaliano Azam Tv ana haki ya kuonyesha ligi ya kuu kwa sababu ni mzini na ndo ana hati miliki ya kuonyesha hzo mechi, pili anaonyeza mechi za kombe la Azam sport federation kwa sababu yenye ndio mdhamini wa hayo mashindano. Kwa upande wa ligo kuu kila timu inayoshiriki inalipwa milioni mia moja ili mechi zake ziweze kuonyeshwa. Sasa kama leo kaenda bila makubaliano ulitaka wamfanyeje maana yeye kwenye hz play off sio mdhamini wala ana hati miliki ya kuonyesha hzo mechi labda aingie makubaliano na hzo timu.
 
Mungu anawaona.

AZAM TV hana udhamini pale hii ni kweli lakini nyuma ya pazia kuna madudu yalitegemewa hasa upande wa officiating Referees ndio maana Pamba wanataka mechi isiwe live.

Wakati wa WORM-UP Kagera waligomea kuingia changing room huku Pamba waking'ang'ania waingie cha ajabu na kweli First Aider aliyeingia kuchukua bench aliishia nguvu na kutapika muda mfupi baada ya kutoka imagine akiwa bado na bench lake mkononi.

Mpira wa Tanzania.
 
Ndo tutegemee soccer letu kusonga mbele kwa mtindo huu!!
 
Mbinu za Simba 100%, ila Mungu anawaona aisee
Mungu anawaona.

AZAM TV hana udhamini pale hii ni kweli lakini nyuma ya pazia kuna madudu yalitegemewa hasa upande wa officiating Referees ndio maana Pamba wanataka mechi isiwe live.

Wakati wa WORM-UP Kagera waligomea kuingia changing room huku Pamba waking'ang'ania waingie cha ajabu na kweli First Aider aliyeingia kuchukua bench aliishia nguvu na kutapika muda mfupi baada ya kutoka imagine akiwa bado na bench lake mkononi.

Mpira wa Tanzania.
1
 
Mkuu si uende uwanjani, kwa nini unataka Azam TV wakuonyeshee mechi? Kwa nini isiwe TBC Taifa? Kwa nini isiwe Star TV? Unaambiwa kuna sababu za kibiashara wewe unakomaa tu kuwa ni hujuma, mtajifunza biashara za mikataba lini kama si kupitia kudadisi vitu kama hivi?
 
Mungu anawaona.

AZAM TV hana udhamini pale hii ni kweli lakini nyuma ya pazia kuna madudu yalitegemewa hasa upande wa officiating Referees ndio maana Pamba wanataka mechi isiwe live.

Wakati wa WORM-UP Kagera waligomea kuingia changing room huku Pamba waking'ang'ania waingie cha ajabu na kweli First Aider aliyeingia kuchukua bench aliishia nguvu na kutapika muda mfupi baada ya kutoka imagine akiwa bado na bench lake mkononi.

Mpira wa Tanzania.
Wana mipango kambambe ya kuishusha Kagera sugar

Ila bahati nzr Kagera sugar ni timu yenye msimamo ndo maana imebaki Sana ligi kuu
 
Back
Top Bottom