Hii story nzuri hebu ianzishie uzi bossmkuu umenikumbusha, niliwahi kupotea msituni siku tatu, ni harufu ya ubwabwa na kitu kama mtu anapasua kuni ndivyo nilivyokuwa nasikia.
Ha haKule Tanga hayo ni mambo ya kawaida pia kukuta sinia njia ya panda lina vitumbua, maandazi, chai na pilau
inshaallah ntafanya hivyo mkuu, katika vitu visivyosahaulika hili tukio sitolisahauHii story nzuri hebu ianzishie uzi boss
Halafu ukirudi baadae hukuti kitumbua, mkate wa kumimina, chapati, pilau wala tende na halua, sijui wahenga ndio wanavichukua eeh Sky😀😀😀?Kule Tanga hayo ni mambo ya kawaida pia kukuta sinia njia ya panda lina vitumbua, maandazi, chai na pilau
Ukishaanza hayo umewekeana mkataba na shetaniHalafu ukirudi baadae hukuti kitumbua, mkate wa kumimina, chapati, pilau wala tende na halua, sijui wahenga ndio wanavichukua eeh Sky😀😀😀?
Nyumbani ilikua tukikuta mayungi pamoja na ndizi mbivu... Lakini ndizi sisi vichwa maji tulikua tunakula na pia tukitishia tukila tutakutana na mengi.. Lakini cha kushukuru hadi leo sijawaona walioweka ndizi zao.Kule Tanga hayo ni mambo ya kawaida pia kukuta sinia njia ya panda lina vitumbua, maandazi, chai na pilau
Ni nyoka mdogo yuko mawindoni hapo na siyo rahisi kumuona kiurahisi, anakuwa kachukua maficho.Wakuu nakosa amani kila ninaposikia harufu ya wali uliopikwa na unanukia sana sehemu ambapo hakuna kabisa makazi ya watu, au kwa ujumla sehemu ambayo hutegemei kupata hiyo harufu. Nasikia ni dalili za kuwepo nyoka lakini natafuta huwa siwaoni.
Naomba tusaidiane kwa hili isije ikawa mara nyingine joka kweli linafanyia mahesabu.
Mtoto wa shangazi yangu alikula papai kwenye chano lilikuwa limekatwa vuzuri. Aliugua nusra mauti yamkute. Pona yake anaanguka kufafa mpaka iTunes U uzimani mwake.Nyumbani ilikua tukikuta mayungi pamoja na ndizi mbivu... Lakini ndizi sisi vichwa maji tulikua tunakula na pia tukitishia tukila tutakutana na mengi.. Lakini cha kushukuru hadi leo sijawaona walioweka ndizi zao.
Nikwambie kitu Sky? Hivyo vitu vinachukuliwa na kuliwa na watu wa kawaida mitaani wala hakuna shetani au zimwi anaevipitiaUkishaanza hayo umewekeana mkataba na shetani
Mayungi ndio yakoje mkuu?Nyumbani ilikua tukikuta mayungi pamoja na ndizi mbivu... Lakini ndizi sisi vichwa maji tulikua tunakula na pia tukitishia tukila tutakutana na mengi.. Lakini cha kushukuru hadi leo sijawaona walioweka ndizi zao.
Anajivua gamba kama CCM?Mkuu mi huwa nackia sana harufu kama hiyo said kwenye vichaka inasemekana maeneo hayo joka huwa anajivua gamba....
Hahahaha ctaki kupimwa mkojo..Anajivua gamba kama CCM?